Mbinu za kukwepa gharama za mitandao

ze farmer

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
922
Reaction score
1,804
Binafsi. Natumia mbinu zifuatazo:

1. Sipigi simu ovyo unless kuwe na ishu ya msingi
2. Situmi hela kabisa kwa mitandao pia itokee dharura sana
3. Luku sijui nini naenda kununua physically kwa wakala
4. Hi mambo ya simu banking nimetoa kabisa
5. Nikitaka 50,000 natoka 400,000 mpunga naweka home
6. Hapa yenyewe natumia wireless ya kazini nikitoka hapa hamnipati

No way! Bunge sasa ni la chama kimoja

Nchi mtajenga wenzangu

Wenye mbinu mbadala tupeana
 
ninachokiona na hasa sisi Watanzania......tutapiga porojo weeeee.....tutalaani weeee.....in few weeks....we forget kila kitu...na maisha yanasonga.....cha msingi elewa hizi gharama ni kubwa sana...
kufanikisha hili kwanza tunahitaji mabadiliko ya fikra halafu tuache na ubinafsi tuipiganie nchi kitu ambacho hatuna kila mtu anaangalia familia yake bila kuiangalia nchi kwa ukubwa kwa ajili ya vizazi vijavyo na hii ndio inapelekea umasikini kutokuisha na unatoka kizazi kimoja kwenda kingine.

maisha yetu ya sasa hayatotofautiana sana na maisha ya wanetu.

tushirikiane kudai KATIBA MPYA nchi ni yetu sote ,tuipende na kuipigania.
 
Hii ndio sifa yetu kuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…