Mbinu za kukwepa gharama za mitandao

J
Hebu acha ujinga wewe!!! Hiyo hotuba ya siku ya kuapishwa na mpaka kodi zimepitishwa unajua nilichoandika? Wapuuzi kama wewe MNAKURUPUKA na kuonyesha ujuha wenu hadharani bila ya kujua nini kinachoendelea.
Just stick to the point, ulituaminisha mwelekeo mzuri kwa taifa huo mwelekeo ndiyo huu?
Yaani kupanda kwa kodi za dhuluma?
Kutembea na mabegi ya pesa?
Kuua biashara za mawakala wa M pesa?

Usipanic uwe mpole kutelimisha .
 
Dah..asante sana kwa shule Kiongozi..... Kina nani wana katiba nzuri tuikopi tu....hata kama za vyama vyetu hivi...maana tumechelewa sana.. na kuondoa zile laki 5 wanazokula wakikaa ... 😷
 
Tupambanie matumizi sahihi ya pesa za mlipa kofi na si kupinga kulipa kodi.
Kodi hii tunayolipa kidogo itakuja kuwa na return mara laki+ . Tujiulize Reli na bara bara alizojenga mkoloni zimetufaidisha kiasi gani kulinganisha na manyanyaso ya manamba waliofanya hio kazi?
Hivi ni vizazi vingapi vitatumia miundombinu itakayo jengwa kwa hizi kodi.
Miundombinu itafungua mambo mengi sana jamani.
Serikali iweke wazi namna kodi hio itakavyotumika na taarifa za matumizi ziwe wazi.
Lazima tukubali kuijenga hii nchi kwa jasho na damu, kwa nini tubataka maendeleo ya kama ya china huku hatutaki kuwekeza katija msingi wa kujenga maendeleo.
Kama shida ni viongozi si tuwakatae. Je tunataka nani agharamie maendeleo yetu wenyewe?
 
Kodi zanyumba zenye wapangaji wameshindwa kufuatilia kwasababu na wao wana majumba yakupangisha, kwahiyo njia ya mkato bora kuruka na mitandao, daa watu hawa hawana imani kabisa.
 
mkuu tuko tofauti me bora wakate tu nikitoka na hiyoo 400,000 niweke Ndani baada ya siku tatu imeiisha. bora makato kulipo kufuja helaa.
 
mkuu tuko tofauti me bora wakate tu nikitoka na hiyoo 400,000 niweke Ndani baada ya siku tatu imeiisha. bora makato kulipo kufuja helaa.
Hahah hii ni descipline yako boss. Mimi kama sijapanga kununia kitu siwezi kabisa kufuja
 
Nilikuaminisha wapi wewe ZERO BRAIN. Where is your evidence!? 😳😳😳

J
Just stick to the point, ulituaminisha mwelekeo mzuri kwa taifa huo mwelekeo ndiyo huu?
Yaani kupanda kwa kodi za dhuluma?
Kutembea na mabegi ya pesa?
Kuua biashara za mawakala wa M pesa?

Usipanic uwe mpole kutelimisha .
 
Hii sio kodi ya kwanza kulipwa. Shida sio kodi bali ni mfumo wa kodi. Umekaa kaa unadiscourage kutuma na kupokea fedha. Unajua kuna mwananchi hata 3000 ya kula ni shida. Sembuse kukatwa 10,000.
 
kwa wale wenzangu namie ambao simu zao znakula sana data yaan m.b znatembea sana unaweza kutumia hii app inayoitwa DATA EYE" app hii itakuwezesha ama kukupa huduma ya VPN pia kukuwezesha kublock app zisizohitajika kwa muda furan, pia kuchagua app chache ambazo unahitaji kutumia kwa muda furan mfano, simu yako huwa na app zaid ya20 ambazo huwa zinaji update kila baada ya muda, ama kuji run underground, so dawa yake kufanya ama kusolve ktk zile app zako unacjagua ni ipi iwe inafunguka ukiwasha data, na zingine ziwe bkocked , hata ukiacha data zako chache zitakaa kwa muda mrefu...fanya hiv kuokoa pesa zako za bando[emoji41][emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…