Mbinu za kumfukuza kwako kijana aliyefikia umri wa kujitegemea

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Jamii yetu imekuwa na vijana wa ovyo na walegevu mno
Furahia ya wazazi ni kuona kijana wao anapambana na kujitegemea.
Wazazi wanapenda wafurahie uzee wao bila kubanwa na nyie watoto, wazee wanahitaji wakae sebuleni wapate mabusu moto moto, Sasa jitu zima upo kwenu kuwabana wazazi
Kijana anafikia miaka 25+ Bado yupo Kwa wazazi, anakula Kwa wazazi, analala Kwa wazazi na hapo hana mpango wa kuoa, kuwa na biashara au kazi ya uhakika
Wazazi wetu walitumia mbinu hizi na vijana tuliondoka nyumbani bila kupenda na kwenda kujitegemea

1. Fanya chumba cha kijana kuwa stoo.
Yaani hapa weka mahindi, karanga, maharage, huko usiku atapambana na panya na mende,
Akili itamjaa ataamua kujitegemea

2. Hifadhi mziga wa nyuki humo chumbani,
Ataondoka tu

3. Mpangie muda wa kurejea nyumbani, mfano mpangie hapo kwako kabla ya saa 1 usiku kila mtu awe nyumbani akizidi hapo atafute pa kulala
Vijana wanapenda uhuru akiukosa kwako laZima autafute pengine

4 Mnyime uhuru wa kutumia vitu vidogo kama redio na TV

5 Mpe maneno ya fedheha
Mfano jitu zima unakula ugali wa mama

6. Vunja kitasa cha mlango, mfanyie upekuzi wa Siri zake.
Kwa mbinu hii ya maudhi laZima akupishe

7 weka mifugo kama kuku na bata humo chumbani
Jogoo wakiwika alfajiri ataamka na hakika atakupisha hapo kwako uzidi kufurahia uzee na mama yake

8 Usimpe chakula cha kutosha

9 Nuna/ kasirika bila sababu
Usimchekee vaa sura ya kamanda Mliro muda wote
Hapo laZima aondoke

10. Mpe majukumu ya house girls
Aoshe vyombo, afagie, akusanye mayai n.k
Hapo laZima aondoke

11. Akiamka akute chai kavu, mchana mpe ugali bila mboga, usimnunulie loshen akioga apauke kama nguruwe pori
Hapo laZima akili itamkaa aamke kusaka mkate na atakushukuru baadaye
 
Jamii yetu imekuwa na vijana wa ovyo na walegevu mno
Furahia ya wazazi ni kuona kijana wao anapambana na kujitegemea.
Wazazi wanapenda wafurahie uzee wao bila kubanwa na nyie watoto, wazee wanahitaji wakae sebuleni wapate mabusu moto moto, Sasa jitu zima upo kwenu kuwabana wazazi
Kijana anafikia miaka 25+ Bado yupo Kwa wazazi, anakula Kwa wazazi, analala Kwa wazazi na hapo hana mpango wa kuoa, kuwa na biashara au kazi ya uhakika
Wazazi wetu walitumia mbinu hizi na vijana tuliondoka nyumbani bila kupenda na kwenda kujitegemea

1. Fanya chumba cha kijana kuwa stoo.
Yaani hapa weka mahindi, karanga, maharage, huko usiku atapambana na panya na mende,
Akili itamjaa ataamua kujitegemea

2. Hifadhi mziga wa nyuki humo chumbani,
Ataondoka tu

3. Mpangie muda wa kurejea nyumbani, mfano mpangie hapo kwako kabla ya saa 1 usiku kila mtu awe nyumbani akizidi hapo atafute pa kulala
Vijana wanapenda uhuru akiukosa kwako laZima autafute pengine

4 Mnyime uhuru wa kutumia vitu vidogo kama redio na TV

5 Mpe maneno ya fedheha
Mfano jitu zima unakula ugali wa mama

6. Vunja kitasa cha mlango, mfanyie upekuzi wa Siri zake.
Kwa mbinu hii ya maudhi laZima akupishe

7 weka mifugo kama kuku na bata humo chumbani
Jogoo wakiwika alfajiri ataamka na hakika atakupisha hapo kwako uzidi kufurahia uzee na mama yake

8 Usimpe chakula cha kutosha

9 Nuna/ kasirika bila sababu
Usimchekee vaa sura ya kamanda Mliro muda wote
Hapo laZima aondoke

10. Mpe majukumu ya house girls
Aoshe vyombo, afagie, akusanye mayai n.k
Hapo laZima aondoke
Na mpaka mtheme
 
Tafuta Tena hela... Mtoto anadaliwa mazingira Kama ambavyo alizaliwa lilikuwa jukumu lako kumtunza ! Na hata Kama hajajaliwa kazi kumfukuza sio solution... Haya ukimjazia hayo mahindi , majiko ya gesi room kwake unaona ndo success step kumtoa home😁😁🖐️

Wewe babako alikuletea Nyoka ndani? (Cobra )?
 
Mzee ana miaka 70 ukaishi kwake akulishe libaba miaka 38
 
Back
Top Bottom