Mbinu za kumfukuza kwako kijana aliyefikia umri wa kujitegemea

Muafrika ni mtu wa ajabu sana
 
Mtoto hajashuka kutoka juu kuja kwako mpaka umri huo, umehusika ktk makuzi yake. Na amekuwa jinsi ulivyo mlea.

Mazazi unajukumu la kumuandalia mazingira mtoto kujitegemea kwanzia yupo tumboni. Ukiona hivyo ujue kunasehemu hukutimiza wajibu wako ipasavyo.
 
W

Watoto wazembe lazima wafukuzwe
Umri umeenda miaka 38 unataka Mzee wa miaka 70 ndo akulishe
We ulikuwa wapi alipokuwa na miaka 10? Unafikiri kulipa tu ada ndo umemaliza kila kitu?
Maisha ya mtoto wewe ndo unashiriki kuya-shape kutokana na yeye alivyo.. Kama wewe kazi yako ni kupeleka tu mtoto shule basi subiri kitakachotengenezwa na shule na usilalame akifikisha 40+ na bado anakuomba vocha.....

Kukaa naye nyumbani siyo tatizo, ila mnapokaa naye mnazalisha nini kama familia?.. Unachowekeza kwa mwanao lazima ujue kuwa kitamfanya asimame hata usipokuwepo...
 
Hii ndio Africa sasa.

Mkuu sio election tu inayohitaji reforms hata mtizamo wa namna hii unahitaji reform...
 
Yesu mwenyewe aliaga akadai anaenda kwa baba yake.

Maana yake ni kwamba baba ndiye mtoa baraka kwa mtoto.

Sasa kama utamfukuza asiporudi utaanza kulalama kukosa msaada wake?

Au ukimfukuza basi msijuane?

Nikiyakumbuka haya huwa ninawaza mara kadhaa kuhusu kwenda kwetu!
 
Dah unaandika tu ama unaweza kuyafanya kwa mwanao??
 
Sasa hapo wewe mzazi si ndo mzembe,, hapo ina maana ulishindwa kulea... mwanao anafikisha miaka 25+ upo naye nyumbani hafanyi chochote kwenye maisha haya..
Kweli mkuu baadhi ya wazazi hawataki kuwaandalia watoto wao kesho yao utakuta mzazi hawezi kukaa na watoto wake wakaongea mipango ya maisha ya vijana wake, utakuta Mzazi akitoka kwenye shuguli zake jioni anaenda kucheza bao au kwenda kunywa pombe usiku anarudi nyumbani. Kuna baadhi ya Wazazi wana akili utakuta anajitahidi kuwatafutia shuguli za kufanya watoto wao na mtoto akipata shuguli ya kumuingizia kipato lazima akili ya kujitegemea inakuja kwa haraka.
 
Baba kuwa masikini haina maana kwamba vijana wake wasijitegemee.
Kushindwa kujitegemea ni uvivu wa mtu.
Sio wote matajiri ni watoto wa Bakhresa.
Kujitegemea ni hatua ngumu ambayo vijana wavivu huikimbia na kutafuta visingizio ati baba hakuniandalia mazingira.
Mzazi aliyekukuza, una nguvu na akili unashindwa kujilisha unamlalamikia baba yako
Mzee ana miaka 70 akulishe kijana wa miaka 34
Lazima nikufukuze ukashitaki mahakamani udai haki yako hiko
 
Anampelekea akalale na mtaji mfukoni kukiwa tee anaona kazungukwa na mahind,maharage,panya, karanga bas anakuwa anachota kidg kwenda kuuza kesi zote anambwagia panya kuwa kala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…