Amani Benson
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 658
- 1,502
Uhakika kabisa tena mafao ya mjomba hayaumi fanya fanya ukamilishe package yako mana ukisha kuwa na fungu age tunaiondoa kabisa πLimeisha hilo! Si hata mafao ya mjomba naruhusiwa kuyahonga?
Nimnunulie hata kile Ki BMW cha watoto wa mama!
HapanaDuh kwahio ulimuona ni shangazi njaa
Sawa mySawasawa mkuu
Ha ha ha nimepatiaππππππ labda
usiku mwema
Wewe mtata sana bhana ππKijana naomba namba yako ya simu....
πππππKijana naomba namba yako ya simu....
Ni tips za mshangazi wa kizungu au sisi black pipo?? Unampoteza bro....Jifanye unapenda vitu vya kacha
Sio shangazi mie ni mshangazi.....Kwa umri wa ID yako wewe ni shangazi π€£π€£π€£
Kijana nipo serious na wewe, nataka kubadili maisha yako......Wewe mtata sana bhana ππ
Yaan zote alizoandika ni bila bila Sifuri bin Sifuri,Hao ni mashangazi njaa ndugu mleta mada..
Ila nawakubali sana mishangazi wenye ID za 2015 kurudi nyumaSio shangazi mie ni mshangazi.....
Kijana anang'ata kucha shangazi umemkazia machoKijana nipo serious na wewe, nataka kubadili maisha yako......
ππππwala hujapatiaHa ha ha nimepatia
Hata mimi nimejiuliza, nini cha maajabu kwa mwanamke unachokisumbukia kiasi hicho?Dah project kabisa hii, lengo ni ku WIN tu mbunye au kuna Jambo lingine
Tommy fcking Shelby by the order of Peaky fcking Blinders!
Mzee wa 'sawa' 'ndio' yuko mmoja tu. Ila namuonea wivu π©π©ππππwala hujapatia