Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,876
- 3,942
Nile mlo mmoja ili nivae vizuri kisa kupendwa na demu. WTF !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atajuta hajui!Akishafikia umri wa kua judged on what he can provide kwa huyo mwanamke ndio atajua nini cha kupriorities kati ya muonekano au majukumu.
Hawa ndio vijana ambao taifa linawategemea kuleta maendeleoHii mbinu ndogo nakupa chukua uniletee mrejesho sawa?
Mademu sikufichi wanapendaga vitu vizuri sasa ili kuvutia mademu jitahidi uwe na vitu vizuri
Cha kwanza kabisa zingatia muonekano yani vaa sana vitu vikali hakikisha una pea zisizopungua tano za viatu vya gharama hamna hamna usivae kiatu cha chini ya elfu 50 kama huna pesa kabisa ni bora ule mlo mmoja kwa siku lakini uwe unavaa vizuri.
Usipende kuongea ongea hovyo yani we kuwa cool tu wenyewe watatafuta namna ya kuanzisha ukarubu na wewe
Hizo gharama utazotumia mwanzoni kujibrand kwa kuvaa nakuhakikishia zote zitarudi , mademu wanajua sana kuonga vitu vya gharama ili akupendezeshe uwe wa kwake peke yake.
Lakini yote tisa kumi hakikisha unato.m.ba vizuri na si mbaya kuna wengin.e wanapenda kule kwengine tafuna mzee baba maana demu sometime atakuwa anawashwa huko wa kumkuna hakuna na hatoweza kumwambia mtu asiyemuamini ila kama wewe upo hiyo fursa hiyo.
Itaendelea
😂😂😂🙌Utaingia uchumi wa Kati😎😎😎
Ongezea saruji na bati hapoKweli asee! Wakati wengine wanawaza madem, mimi kichwani 'yanazunguka' matofali tu! [emoji3][emoji3][emoji3]
babu leta connection za ela hizo mambo za kuvaa vitu vya garama upate papuchi hazina mahana, vijana tunamawazo mgando kabisa.Hii mbinu ndogo nakupa chukua uniletee mrejesho sawa?
Mademu sikufichi wanapendaga vitu vizuri sasa ili kuvutia mademu jitahidi uwe na vitu vizuri
Cha kwanza kabisa zingatia muonekano yani vaa sana vitu vikali hakikisha una pea zisizopungua tano za viatu vya gharama hamna hamna usivae kiatu cha chini ya elfu 50 kama huna pesa kabisa ni bora ule mlo mmoja kwa siku lakini uwe unavaa vizuri.
Usipende kuongea ongea hovyo yani we kuwa cool tu wenyewe watatafuta namna ya kuanzisha ukarubu na wewe
Hizo gharama utazotumia mwanzoni kujibrand kwa kuvaa nakuhakikishia zote zitarudi , mademu wanajua sana kuonga vitu vya gharama ili akupendezeshe uwe wa kwake peke yake.
Lakini yote tisa kumi hakikisha unato.m.ba vizuri na si mbaya kuna wengin.e wanapenda kule kwengine tafuna mzee baba maana demu sometime atakuwa anawashwa huko wa kumkuna hakuna na hatoweza kumwambia mtu asiyemuamini ila kama wewe upo hiyo fursa hiyo.
Itaendelea
Yaani Binadamu uishi kwa mateso ili tu kumfurahisha Binadamu mwingine!
Hata ufanyaje huwezi kumridhisha kila Mwanamke,kila Mwanamke ana vipau mbele vyake,
Love the life u live,
Live the life u love.
[emoji120][emoji123], kuna principles mtoa mada inaonekana hazifahamu.Yaani Binadamu uishi kwa mateso ili tu kumfurahisha Binadamu mwingine!
Hata ufanyaje huwezi kumridhisha kila Mwanamke,kila Mwanamke ana vipau mbele vyake,
Love the life u live,
Live the life u love.
Yani nijibane kula ili tu ninunue viatu eti nipate demu. Ukizaliwa mwanaume ni mateso kwakweliHii mbinu ndogo nakupa chukua uniletee mrejesho sawa?
Mademu sikufichi wanapendaga vitu vizuri sasa ili kuvutia mademu jitahidi uwe na vitu vizuri
Cha kwanza kabisa zingatia muonekano yani vaa sana vitu vikali hakikisha una pea zisizopungua tano za viatu vya gharama hamna hamna usivae kiatu cha chini ya elfu 50 kama huna pesa kabisa ni bora ule mlo mmoja kwa siku lakini uwe unavaa vizuri.
Usipende kuongea ongea hovyo yani we kuwa cool tu wenyewe watatafuta namna ya kuanzisha ukarubu na wewe
Hizo gharama utazotumia mwanzoni kujibrand kwa kuvaa nakuhakikishia zote zitarudi , mademu wanajua sana kuonga vitu vya gharama ili akupendezeshe uwe wa kwake peke yake.
Lakini yote tisa kumi hakikisha unato.m.ba vizuri na si mbaya kuna wengin.e wanapenda kule kwengine tafuna mzee baba maana demu sometime atakuwa anawashwa huko wa kumkuna hakuna na hatoweza kumwambia mtu asiyemuamini ila kama wewe upo hiyo fursa hiyo.
Itaendelea
Kwani wee mwanamke ukisha pendwa then wat?Aisee hii ni dalili ya umarioo, ukishapendwa sasa what for?
Tabu zote hizo Ili iwaje?Hii mbinu ndogo nakupa chukua uniletee mrejesho sawa?
Mademu sikufichi wanapendaga vitu vizuri sasa ili kuvutia mademu jitahidi uwe na vitu vizuri
Cha kwanza kabisa zingatia muonekano yani vaa sana vitu vikali hakikisha una pea zisizopungua tano za viatu vya gharama hamna hamna usivae kiatu cha chini ya elfu 50 kama huna pesa kabisa ni bora ule mlo mmoja kwa siku lakini uwe unavaa vizuri.
Usipende kuongea ongea hovyo yani we kuwa cool tu wenyewe watatafuta namna ya kuanzisha ukarubu na wewe
Hizo gharama utazotumia mwanzoni kujibrand kwa kuvaa nakuhakikishia zote zitarudi , mademu wanajua sana kuonga vitu vya gharama ili akupendezeshe uwe wa kwake peke yake.
Lakini yote tisa kumi hakikisha unato.m.ba vizuri na si mbaya kuna wengin.e wanapenda kule kwengine tafuna mzee baba maana demu sometime atakuwa anawashwa huko wa kumkuna hakuna na hatoweza kumwambia mtu asiyemuamini ila kama wewe upo hiyo fursa hiyo.
Itaendelea
Yaani watu wengine watafika mbinguni wamechoka kweli kweli!! Mpaka watawapa malaika kazi ya kuwapepea getini!Halafu eti kama huna pesa kabisa ni bora ule mlo mmoja kwa siku lakini uwe unavaa vizuri 😂😂 yote haya ni kwa sababu ya mwanamke tu, ukipata madonda ya tumbo😂