Mbinu za kupika sotojo / rosti la kitimoto, unaweza kula mpaka ujiume ulimi... Enjoy

Mh kama ndyo hiyo kwa picha basi umetupiga...nyanya imesimama dede
Nyie mmezoea kupika mpaka kila kitu kiungue kipoteze vitamin... mi hapo hata karoti na hoho nikila nazisikia ule ubichi wake... Anyway, labda mapishi yanatofautiana
 
Mzee kama haya maelekezo ndio yanazalisha hicho ambacho nakiona kwenye hio sahani hapo basi una safari ndefu sana katika tasnia ya rosti ya mdudu.
Hahahahaaa hamna mkuu... huo ni muongozo tu... hiyo kwenye picha nilipika kitambo ila kwa aina ya upikaji wangu inakuwa ipo safi mnoo.... ni tamu haswaa.. picha isikudanganye mkuu
 
Siku akiweza kutoa kitu cha mfumo kama huu huenda tukaelewana
View attachment 2752551
Sasa hapo nimekuelewa, hizo nyama si wanakuwa wamezikaanga sana ndo mana.... Nimeshakula na mimi kama hizo za kununua, zinakuwa na ladha ila ni kwamba nyama wanazikaanga sana... saa nyingine inakuwa ni over cooking..

Hapo ndo tunatofautiana, mimi nipo makini kwenye over cooking ndo mana unaona chuzi halina rangi nyeusi hivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…