Mbinu za kupika sotojo / rosti la kitimoto, unaweza kula mpaka ujiume ulimi... Enjoy

Kama unakuja hv kwenye 100% una 79%! Leo hawapigi bendi huku kibosho umbwe sijui hawajachinja 😁
 
Kama unakuja hv kwenye 100% una 79%! Leo hawapigi bendi huku kibosho umbwe sijui hawajachinja 😁
Leo nimeichemsha sanaa kama dakika 60 halafu ilikuwa na mafuta kidogo kwahiyo maji yalivokauka ikaanza kujikaanga yenyewe.. halafu ndo nikatoa nikarost... imekuwa laini vizuri sanaa
 
Mangi na kitimoto+mbeke/mbege ni uji na mgonjwa🤣🤣🤣
Daaaah yaaani, mpaka nawaza nifungue mahali pa kukikaanga halafu nitafute watu niwapige training waaanze kazi mara mojaaa....

Nimegundua hii kitu inalipaaa sanaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…