Mbinu za utajiri ni ubahili, bila kuwa bahili sahau utajiri. Faida yake naiona

Kweli wewe ni genius, Hawa wenzetu hawajui kitu kinaitwa kizazi. Kuna watu walipoteza maisha yao ili kizazi Cha leo tuishi vizuri.
Ni kweli hata Ulaya ni kuzuri lakini kuna watu waliumia kuifanya ulaya iwe na maendeleo vile ilivo, ukitaka mafanikio kuna baadhi ya vitu lazima ujisacrifice ili ufikie lengo lako
 
Hiyo miaka unayoitaja taja una uhakika gani kwamba utaifikia?
 
hahah
kuna mwingine ameamua awe anaamka saa sita mchana ili asipate gharama ya breakfast.
Ha ha haaaa, jf mna nini lakin unajua nimecheka kwa sauti mpaka kwenye daladala la makumbusho gerezani wamenishangaa.
 
Become greedy when others become fearful and fearful when others become greedy-warren buffet
 
Ok
 
😃😃Eti fundi bati jf raha sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…