Mbinu za utajiri ni ubahili, bila kuwa bahili sahau utajiri. Faida yake naiona

uzoefu mzuri sana
 
Sio lazima kushika watu mikono...kila mtu akomae kwa nafasi yake na ubahili wa hali ya juu...iyo 5% una data umeitoa wapi..!!?
..kua na hasira....fanya Kama chizi....kua abnormal..kua bahili...ukikaa kulia Lia hakuna wa kukusaidia....
 
Hii ndio akili, usije hata siku moja ukawathamini machawa.
Kuwa bahili jenga kwa kadri utavyopata, Kama hutaona faida Sasa baada ya miaka 10 au 20 utaona faida yake.
Usikubali wakuite mwana, hili neno mwana linachelewesha Sana maendeleo yako binafsi.
Utasikia "mwana Mtu poa Sana", "mwana Mtu Safi", Mara "mwana sio mchoyo"
 
Hongera mkuu, ila maisha pia ndio hayahaya na yanaendelea, Kufurahia pesa yako pia si vibaya, naungana na ww kwenye ubahiri ila nao usizidi maana unatafuta pesa kwanza ni kwa ajili ya kuishi vizuri.
 
Karibu sana wazo mitaa ya mashamba ya jeshi...nyakalekwa
Kino done
Wazo done
Kigamboni nakuja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ilaubahiri kweli inasaidia+matumiz yasiyo na tija tupa kule+washkaji,ndg wa mizinga wakatie line

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…