Mbinu za utajiri ni ubahili, bila kuwa bahili sahau utajiri. Faida yake naiona

Mbinu za utajiri ni ubahili, bila kuwa bahili sahau utajiri. Faida yake naiona

Mi ni bahili nadhani hata nakuzidi x 100, but sitaki kujitesa, na gari zuri expensive one, nina nyumba kali, kwangu kutamu balaa, na kila weekend nakula bata na saving kama kawa...... na hii kwangu ndo definition ya maisha

Kujitesa ni mwiko eti ili nije kuwa tajiri , never[emoji848]
Naomba kuwa chawa wako...
 
Sio lazima kushika watu mikono...kila mtu akomae kwa nafasi yake na ubahili wa hali ya juu...iyo 5% una data umeitoa wapi..!!?
..kua na hasira....fanya Kama chizi....kua abnormal..kua bahili...ukikaa kulia Lia hakuna wa kukusaidia....
KUWA Abnormal..wenzako wakienda kulia wewe nenda kushoto..become the blacksheep....nakazia tu
 
Mi ni bahili nadhani hata nakuzidi x 100, but sitaki kujitesa, na gari zuri expensive one, nina nyumba kali, kwangu kutamu balaa, na kila weekend nakula bata na saving kama kawa...... na hii kwangu ndo definition ya maisha

Kujitesa ni mwiko eti ili nije kuwa tajiri , never[emoji848]
hayo ndo maisha bwana tafuta, save, tumia. Unajibanabana kwani umekuwa ushuzi.
 
Doh! sawa bana
Ila wote tukichukua hii nadharia ya ubahiri mbona biashara nyingi sana zitateketea mjini
Hakuna biashara itayokufa, hapo Kama umenielewa ni kuwa baada ya ubahili Kuna hayo maisha ya Raha.
Wapi ambao tayari washafikia lengo na Sasa hivi wanakula Bata. Ila kwa vijana sisi basa hawa wenye below 40 ndio haswa walengwa
 
Nakula bata na bet full stop,sasa kila mtu akiwa bahili watu c watafunga mall zao na supermarket,bar kwa kukosa wateja maana raia wameshakua bahili
 
Sijamaanisha maisha yako yote uwe bahili, Ila pale utapokuwa na flow nzuri ya pesa kupitia investment zako.
Hizo pisi Kali zitakufuata popote ulipo
Simaanishi maisha yako yote, wapo ambao tayari wapo kwenye nafasi nzuri na hawana tena sababu ya kuwa mabahili.
Wewe kijana mwenzangu unaehangaika ndio haswa mlengwa
 
Mi ni bahili nadhani hata nakuzidi x 100, but sitaki kujitesa, na gari zuri expensive one, nina nyumba kali, kwangu kutamu balaa, na kila weekend nakula bata na saving kama kawa...... na hii kwangu ndo definition ya maisha

Kujitesa ni mwiko eti ili nije kuwa tajiri , never[emoji848]
Mie nnapojipa maksi ni kwenye kuvaa aisee...yaan mie kununua manguo kila mara walaa...nakaa hata mwezi nisinunue nguo...ila kwenye msosi dah..yaan mboga hata 4...ntakaanga samak...nikipigiwa simu sister firigisi zipo za kienyeji nafata..hapo ntapika firigisi,samak nakaanga uwii sijui juic matunda yote🤧🤧🤧napenda sana kupika na hubby anamzuka balaa..ila for the first tym leo sijanywa coca...! Naona usiku mzito!
Nataman kuwa bahili mwe
 
34yrs, Ila nimeanza mishe nikiwa na 24yrs after graduation
Basi mkuu hongera sn,Kwa umri wako mdogo na mambo uliyoyafanya+ndoto ulizonazo unastahili nyota tano begani

Kibongobongo watu wengi wenye mafanikio Kama yako ni kuanzia 50+ na most of them ni wale wastaafu waliokuwa wanakula mishahara mirefu

Miaka 34 unawaza kujenga nyumba ya 200m ni Jambo kubwa sn ambalo kwangu Mimi ni zaidi ya kuwa bahili Kama unavyotushauri vijana wwnzako,all in all Mimi ni mmoja ya wale wanaokubali harakati zako
 
Back
Top Bottom