Mbinu za utajiri ni ubahili, bila kuwa bahili sahau utajiri. Faida yake naiona

Mbinu za utajiri ni ubahili, bila kuwa bahili sahau utajiri. Faida yake naiona

ukisha maliza kujenga hiyo nyumba halafu unakufwa
ndugu wanaamua bora waiuze halafu hela wanaenda kula bata

ni kama mzoga kuliwa na siafu tu
Mawazo ya kukatishana tamaa
 
Mi ni bahili nadhani hata nakuzidi x 100, but sitaki kujitesa, na gari zuri expensive one, nina nyumba kali, kwangu kutamu balaa, na kila weekend nakula bata na saving kama kawa...... na hii kwangu ndo definition ya maisha


Kujitesa ni mwiko eti ili nije kuwa tajiri , never[emoji848]
We mwanamke ndio type yangu kabisa! 😂😂😂
 
Hakuna biashara itayokufa, hapo Kama umenielewa ni kuwa baada ya ubahili Kuna hayo maisha ya Raha.
Wapi ambao tayari washafikia lengo na Sasa hivi wanakula Bata. Ila kwa vijana sisi basa hawa wenye below 40 ndio haswa walengwa
Sawa mkuu, Ila mi naona ni kuweka tu vizuri mipango na vipaumbele vya maisha yako maana neno "Ubahili" sioni Kama ni sifa nzuri kuwa nayo kwenye jamii
 
ukisha maliza kujenga hiyo nyumba halafu unakufwa
ndugu wanaamua bora waiuze halafu hela wanaenda kula bata

ni kama mzoga kuliwa na siafu tu
Hii ndio watu huwakata kabisa mori wa kupambana
 
Team ubahili hebu tuipangie budget laki moja na nusu (150,000) ni namna gani itaweza kutoboa mwezi kwa mtu ambaye hajaoa,hana mke wala mtoto.lakini amepanga
Dah nataman ningekuwa wewe;
Chai asbh 1000 kwa mwezi 30000/=
Mchana 2500, kwa mwezi 65000/=
Jioni 1000,kula matunda kwa mwezi 30000/=
Nauli 1000 kwa mwezi 30000/=
 
Sawa mkuu, Ila mi naona ni kuweka tu vizuri mipango na vipaumbele vya maisha yako maana neno "Ubahili" sioni Kama ni sifa nzuri kuwa nayo kwenye jamii
Wewe subiri sifa kutoka kwa jamii, Ila nakuhakikishia kwa Sasa usipokuwa bahili badae hiyohiyo jamii itakucheka sana
 
Sijawahi kuona tajiri aliyepatikana kwa ubahili.
Saving pekee pia haitoshi kukufanya uwe tajiri.

Kwa haraka haraka mleta mada wewe sio tajiri maana hakuna tajiri ambaye angewaza kujenga nyumba ya kuishi ya milioni 200 wakati kipato chake kwa mwezi ni kidogo kuliko pesa anazotaka kuzizika kwenye ujenzi wa nyumba ya kuishi.
 
Well said boss, hata mimi sio bahiri kivile ila kupitia kubana salary na viposho vya hapa na pale nimejikuta angalau nina saving ya maana kwa bank. Zaman nilikuwa mpuuz natumia kila kitu nabaki empty
Mkuu vp umeoa
 
Back
Top Bottom