Mbinu za utajiri ni ubahili, bila kuwa bahili sahau utajiri. Faida yake naiona

Mbinu za utajiri ni ubahili, bila kuwa bahili sahau utajiri. Faida yake naiona

imagine wakati tunasoma tulikuwa tunashindia mihogo maugari maharage wazazi wakatuambia tukipata kazi tutakula tunachotaka,,,

eti saa hivi unafanya kazi unapata hela bado tena uanze kujitesaaa Aaaakh sasa huku duniani tumekuja kuteseka [emoji846][emoji3526]

Mimi walaaaah nikiwa na hamu ya mbuzi choma nitakula nikiona jeans kali nanunua ,,,, hela ikiisha nitatafuta nyingine,,

Mwili wangu first [emoji39]
Hii ndo akili

Watu wana hela za ndagu ndo maana
 
Dah nataman ningekuwa wewe;
Chai asbh 1000 kwa mwezi 30000/=
Mchana 2500, kwa mwezi 65000/=
Jioni 1000,kula matunda kwa mwezi 30000/=
Nauli 1000 kwa mwezi 30000/=

ina maana halipi kodi,umeme,Dawasco,hanunui vocha,sabn,mafta,mswaki,alafu akila hanywi maji?? coz ume assume kama vile jamaa yy matumiz yake n msosi tu
 
asee ubahil sawa lakin nna ndugu yangu hatoi hata mia mwaka mzma ajui kuna mzaz anatakiwa bill ya maji umeme wala kingamuz ajabu mkikutana mwsho wa mwaka hata mboga ya skukuu hanunui na bado shat limepauka kama fundi bati sasa najiulza huyu anaweka hzo hela akalie mbingun au
Mambo ya kijinga yaaan

We jiulize ihiiihiiiihiii sasa hivi yuko wapi?[emoji849]

Mi sijitesi asee
 
Mie nnapojipa maksi ni kwenye kuvaa aisee...yaan mie kununua manguo kila mara walaa...nakaa hata mwezi nisinunue nguo...ila kwenye msosi dah..yaan mboga hata 4...ntakaanga samak...nikipigiwa simu sister firigisi zipo za kienyeji nafata..hapo ntapika firigisi,samak nakaanga uwii sijui juic matunda yote🤧🤧🤧napenda sana kupika na hubby anamzuka balaa..ila for the first tym leo sijanywa coca...! Naona usiku mzito!
Nataman kuwa bahili mwe
Hongera kwa kula vizuri haina shida, ilaukitaka kutajirika usinywe tena coca kama leo ulivyofanya
 
Point taken,.haya madini mazuri Sana.[emoji120][emoji1666]
 
ina maana halipi kodi,umeme,Dawasco,hanunui vocha,sabn,mafta,mswaki,alafu akila hanywi maji?? coz ume assume kama vile jamaa yy matumiz yake n msosi tu
Duh bas bora ajipikie..yaan apige deshi mchana usk aje apike...
 
Team ubahili hebu tuipangie budget laki moja na nusu (150,000) ni namna gani itaweza kutoboa mwezi kwa mtu ambaye hajaoa,hana mke wala mtoto.lakini amepanga
20% save
80% kodi,umeme, chakula,nauli
 
Mru mmoja akasema sasa naona nimepata kila kitu mali pesa roho yangu ikae na kufurahi,tazama sauti ikamjia ikisema je wajua siku zako zilizobaki hapa dunian .
Mwombe m
MUNGU NA KUMSHUKURU
Ubahili anaouzungumzia mtoa mada ni wa matumizi ya vitu visivyo na lazima/ vitu vya matamanio ...

Lakini naona kama hawajaelewa alichokusudia, au wameamua kubadili tu mada..

Nieleweshwe labda sijamuelewa vyema.
 
Ubahili anaouzungumzia mtoa mada ni wa matumizi ya vitu visivyo na lazima/ vitu vya matamanio ...

Lakini naona kama hawajaelewa alichokusudia, au wameamua kubadili tu mada..

Nieleweshwe labda sijamuelewa vyema.
Wameamua kujitoa fahamu ila wameelewa, kuna mtu akipata hela anatumia zote kwa matumizi hata yasiyo ya msingi alafu huyo huyo mtu akihitaji hata hela ndogo Kama elfu kumi kutatua kitu cha haraka amekwama inabidi asumbue watu kuwakopa wakati angejisaidia mwenyewe kwenye shida ndogo ndogo kwa kusave.
 
Mkuu unaposema kujitesa unaamanisha nini?

Binafsi naona mtu kupambana na maisha halafu pesa zinaishia kutumika kwenye vitu vya matamanio tu yasiyo na msingi ni utumwa tu.
vitu vya msingi ni gani mkuu,, uyo jamaa kasema tujibanr kwenye kula sijui uwe na kipatao cha milioni mbili kwa mwezi ukae chumba cha elfu60 uko mpiji magohe ,,,

Binafsi siwezi kuwa milion alfu nianze kula maugali Aaaagr Bora ninyongwe[emoji1781]

me nikipokeaga mshahara wangu wa laki3 kwa muhindi lazima kwanza niende pale marrybrown napiga kuku chips 12,500/= alfu kila siku lazima nipigr juice ya tende pale buguruni,

hela ikiisha mwezi nao unakuwa umeisha marufuku mshahara wangu kukutana mfukoni
 
Mimi walaaaah nikiwa na hamu ya mbuzi choma nitakula nikiona jeans kali nanunua ,,,, hela ikiisha nitatafuta nyingine,,

Mwili wangu first [emoji39]
Ukiona jeans kali unanunu ni kwasababu hauna malengo yoyote , ndio maana hauwezi kuona umuhimu wa kusave,

mtu yoyte anyewaza kusave mara nyingi anakuwa na malengo aliyoplan kuyatimizia.

Nasio kuwa mtu kusaka short time& instant gratification..
Kuridhisha nafsi kwa matamanio ya muda mfupi,
Wakati uanedelea kula msoto wa kila siku..

Kuwa m'bahili haimaanishi usifanye matumizi..
Kuwa m'bahili ni kufanya matumizi ya lazima tu, kama chakula mavazi, malazi n.k "kwa budget", na kuondoa matumizi yote yasiyo ya lazima..
 
Team ubahili hebu tuipangie budget laki moja na nusu (150,000) ni namna gani itaweza kutoboa mwezi kwa mtu ambaye hajaoa,hana mke wala mtoto.lakini amepanga
Kwa siku asizid 5000 ...ikitokea amezidisha 5000 siku inayofuata ajipige adhabu ...kufidia hela iliyozidi jana ..hiyo ndo principle ....haya yote yanawezekana ukiwa na roho ngumu tuu...kuhusu mademu ...komaa na ma beki tatu tuu wengine fanya kama huwaoni
 
Back
Top Bottom