Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeelewa mada.... inaonekana wewe sio mwenyeji wa kariakoo...Wakinga hawajaiteka Kariakoo unless huijui kariakoo ipoje. Wakinga wengi ni wachuuzi tu wadogo wadogo wananunua kwa Wachina.
Madon wengi wa Kariakoo ni matajiri wakubwa unaowaona kila siku, Bakhresa, Metl, Gsm, Oil Com, Wachina, Wasomali, Wachaga etc.
Sasa kaka mpaka hapa ninachokiona ni jela unatafuta au kulogwa!Kugawa mtaji kwakweli naona pesa haitatosha kwasababu hata huo mtaji niliokuulizia sio wote wangu si unajua huku mikoani kuna namna fulani ukijiweka watu wanakuletea akiba zao uwatunzie wakishauza korosho zao
lIgi za kitoto kila pahala.....Hapa kadri watu wanavyozidi kuamka nakuambia itakuwa kazi mno kununua ama kuchangia mchaga Mana wao huwa hawanunui kwa wengine Bali kwa kabila lao tu na sifa zao. Ni suala la muda tu watu watakwepa biashara zao. Kama iyo kampuni ya mapembelo na gnm so mtu atatumia mapembelo atasema wachaga tayari wanayo pesa Hakuna haja ya kuwaongezea ngoja tuwape walio masikini.
Ni kweli wapo juu Ila sio kuleta dharau na kujiona kuwa wao Ni Bora kuliko wengine,utadhani Kama waliamka wakajikuta wanayo hayo maghorofa
Nimeelewa vizuri, huwezi kuwa Don kwa uchuuzi.Umeelewa mada.... inaonekana wewe sio mwenyeji wa kariakoo...
Hamna kaka siwezi kufungwa hawa wanaoniletea pesa zao ni wazee wangu kule kijijini unakuta mtu anauza korosho za milion 10 yote anakuletea umtunzie kwahiyo utakuta anachukua polepole tu na hawi mmoja wanafika mpaka wazee 12,huyu anakuletea milion 10 mwingine 6 mwingine 5Sasa kaka mpaka hapa ninachokiona ni jela unatafuta au kulogwa!
Uanaume ni kuingia front bila woga lakini kwa case yako hapana sikushauri,cha kufanya jichange upate angalao 50mill uingie ukiwa na cash yako hiyo ya wa mikoani endelea kuzungushia kwenye mazao kazi uliyoizoea.
Mkuu una hakika GNM ya mchaga?GNM ya mkinga na hizo herufi ni initials za majina yake.Toka cargo yake ya kwanza Baiyun area,Guangzhou before 2014 huko naijua mpaka ilipo leo Nanhai FoshanWakinga nguo wanaagiza sana kupitia GNM ya Mchaga na Mapembelo ya Mkinga mwenzao na makampuni mengine. Kwingine si sana na kama unavyosema kwenye cosmetics hawapo na electronics sio wakubwa. Ukabila hauna manufaa bora tumuelekeze mleta mada aujue mji asikariri
Sawasawa mkuu nimekuelewa,basi jitahidi kabla hujaitia hiyo hela kwenye biashara utakayoipenda ufanye kwanza uchunguzi wa mazingira ya pale town kwamba location ipi ni sahihi gharama za frame etc ili ukiingia iwe nyepesi kwako.Hamna kaka siwezi kufungwa hawa wanaoniletea pesa zao ni wazee wangu kule kijijini unakuta mtu anauza korosho za milion 10 yote anakuletea umtunzie kwahiyo utakuta anachukua polepole tu na hawi mmoja wanafika mpaka wazee 12,huyu anakuletea milion 10 mwingine 6 mwingine 5
Kugawa mtaji kwakweli naona pesa haitatosha kwasababu hata huo mtaji niliokuulizia sio wote wangu si unajua huku mikoani kuna namna fulani ukijiweka watu wanakuletea akiba zao uwatunzie wakishauza korosho zao
Basi tutajie za zaidi ya 2% tuone na sisi.twende kazihizi biashara zote ulizotaja hazifikii hata asilimia 2 za biashara za kariakoo mkuu.
Kweli kuna la kujifunza.Kwa wanaosema uchawi wacheni niwarahishie tu kazi, kama ingekuwa ni uchawi basi watu wa gamboshi na sumbawanga wangekuwa mbali mnooooo!! waganga wa jadi wangekuwa ni mabilionea.
Duuuh, wenyeji hasa wa DSM yaani Wazaramo wako wapi?Kariakoo ni ya wachagga kwa 90% naanza na mahoteli.
chelsea hotel,lumuba na uhuru-macha
keys hotel-ndesamburo
royal valentino,aggrey street-massawe tumbo
akubu hotel mmarangu
rising sun hotel-kimbori
hong kong hotel masasi street -chuwa
kings palace hotel,rikk hotel,ar na anamilki nite club mtaa wa livingstone
tropical hotel-alyoce ngowi
florida hotel gerezani-mlingi
diamond tiffany hotel- mr kiria
durban hotel na butterfly hoteel
mrina hotel mtaa wa udoe,mrina halls,hardware,mrina bar nanyumba za kutosha tip top
cate hotels,auto parts ABC mabasi ya mikoani,
cate hotel moro
emilly hotel
valley view ya godliving makundi
ELECTRONICS
Manufacturer and supplier
rising eletronics-alyoce mkibosho
homebase electronics- ford mushi kibosho masoka
mr uk eletronics mchagga
hometech mchagga
SUPPLIER AND DISTRIBUTORS ELECTRONICS
LAMPARD ELETRONICS jengo la simba fransis mushi
mashariki power eletronics aggrey kifaru wa kibosho uchau
msimbazi eletronis
micheal eletronics hawa wapo wengi list is endlesss
john kessy agent wa boss hisense bosch na rim
congo electronics
city sounds music
jambo musics
MAGOROFA k/koo
kwa emma gerezani gorofa tano na biashara ya jumla ya vinywaji agent wa breweries ilala
primi mushi (wakiga wote wa kariaako wakiungana hawawezi kumfikia)gorofa zaidi ya 20 na matawi yote ya akiba bank yako kwenye nyumba zake k/koo ni mfanybiashara mkubwa wa kitenge tanzania na congo ana gorofa tanga na arusha gorofa moja ya narungombe ndio wakinga wote wananzia kupanga frame wakiingia k/koo
alyoce kimbori zaidi ya gorofa 10 dar na mwanza
bosco chuwa gorofa zaid ya 7 arusha na k/koo
yohana kweka zaid gorofa 5
masai kuringe/kuringe halls moshi wa boro kibosho zaid ya gorofa 20 ndio mwenye red stone moshi na gorofa arusha
masumbuo zaid ya gorofa 5
koka mbunge wa kibaha gorofa 5 ikiweo mrieny tower jagwani street ako catering,viwanda na makampuni ya zaidi ya ishirini
mzee temba gorofa 3
chuwa mchikichi na livingstone zaid y agorofa 10 kaoa mchina
mariam tower lindi na shaurimoyo street
mbokomu tower gerezani na zaid ya nyumba 5 na biashara chuma jumla
house of bolt na nyumba zaidi ya 3 mr mariwa muuzaji wa bolt jumla na kiwanda cha bolt
thomas lyimo zaid gorofa3 uhru na msimbaz mgahawa,muhimbili na akiba
herman woiso magorofa na woiso origina products viwanda
el shaddai pazia carpert mashuka nk mmachame
saba berings magorofa na spare parts na hardware agent wa king long motor cycle
hai agency spare parts
okinawa pharmacy -massao
frank knows nguo
saroi mushi viatu vya kike agent na magorofa k/koo saroi bar mabibo saroi bar kimara mwishi njia kingongo
masumbuo chuwa aluminam n magorofa k/koo na kibo social hall kimara
mama chuwa gorofa na kitenge
mjapan bar tip top mjapan complex tegeta na hardware k/koo
mtoto wa thomas lyimo agent wa rangi gerezan
mwalimu hardware biashara ya chuma
kidia automobile parts kidia one buses,kidia one hotel dodoma
BAR
saba saba bar
Angel garden -diwani wa tabata zamani patrick assenga
kwa emma gerezani
msimbazi gorofan jerome mushi
ddc k/koo wakina mmasy majiko na vyakula
new vunjo bar mmnazi mmoja
mango garden kipata street
safar bar na safari jewellers hugo hotel moshi kimara resort kimara hugo kisima
front line chuwa
suwata bar shule ya uhuru maimu
congo bar
VIPODOZI
Kavishe agent mkubwa wa perfume na oil zote dawa za nywele duka lake liko kwenye nyumba ya koka floor yote ya kwanza mrieny tower
massawe zaid ya duka 10
HARD WARE
Ndewedo kacheli maduka ya sanitry ware
mwalimu hardware biashara ya chuma na rangi za chuma na magari nyumba k/koo na daladala
kwa shayo cooling system zote a/c na parts zake east african brothers engineerin owner ina tenda ya kusupply a/c na kuservice crdb nchi nzim nmb bot na ofis nying za kimataifa
kimaro tiles, marble na mgodi wa kokoto ruvu macrusher ya kutosha ana tenda sgr na mwendokas kusupply kokoto na mchaga
innocence minde plumbing busness jumla
billions paints ni kiwanda cha mmchame kiko jkt mbuyuni
dm paints cha mmarangu kiko kimar mbezi
kiwanda cha gpsum powder,gysum bord whitecememt kimaro kipo njia ya kusini .kwembeplastics cha lema kinatengeneza pvc pipise na vifaa vya plastic ni ndugu yake hillary shoo wa hill water busnee patner
mbokomu chuma
ANDO ROOFING mabati,vigae,villa house,aluminiam marble coating nk kiko tegeta ni cha Ando maimu ndugu yake maimu wa NIDA vitambulisho
FEHDA
MOHAMMED LEMA, mokha cargo duka kubwa la wakala wa fedha clearing na forward na wakala awa fani za dekla kiwanda cha mabata mwanza
arusha cargo
GNM Cargo Bosco chuwa
madekela cargo
mangi cargo
rangi za nyumba mtoto wa kike wa thomas lyimo agentmkubwa
HOSPITAL
dr maro kariakoo dispensary
st bernard hospital
frontline dispensary
Aise uneichambua vema kariakooKariakoo ni ya wachagga kwa 90% naanza na mahoteli.

Duuuh, wenyeji hasa wa DSM yaani Wazaramo wako wapi?
Au walikuwa wapi?
Sorry, sijauliza kwa nia ya kuwadharau
Mkuu habari,vipi nikiwa na mtaji wa milion 80 naweza kuingia hapo kariakoo nikafungua duka?
Umetisha mkuu. Kuna nyuzi humu watu wengi tunapend kujua machimbo ya bidhaa Kariakoo kam hardware, electronics nk. Nadhani wewe uko vizuri zaidi kutuelekeza.Kariakoo ni ya wachagga kwa 90% naanza na mahoteli.

Nakumbuka nolikuunganisha na binamu yangu anafanya biashara ya vipodozi masasi anadai amekucheki WhatsApp ukamjibu kiingereza akaghairiKariakoo njoo na hela ya fremu
Mengine mengi utazidishiwa [emoji28][emoji28]
Uvivu ni nini?Wavivu wanapenda ngono na masuala ya kiswahili😂😂
[emoji3581]Wakinga hawajaiteka Kariakoo unless huijui kariakoo ipoje. Wakinga wengi ni wachuuzi tu wadogo wadogo wananunua kwa Wachina.