Thanks to Maxence Melo Jamii forums ina Ignore segment.πͺπΏHahahahaa!! Umenikumbusha chemical apparatuses, sasa hizo mbuzi watumia account ya Tlaatlaah hawana tofauti na apparatuses za Lumumba House. Wakutumika kama Condom. I'm glad sioni uchafu wao nowadays; ultimately, it has made me not engage with their nuisances at all. Nawapunguza wengi, Thanks to Maxence Melo Jamii forums ina Ignore segment.
Wewe hata uislam huna. Ni takataka tu kama kinyesi cha shetani.Peleka ujinga wako ,halafu sipendi unafiki na huyo jamaa wako ...Kama ni mgalatia mambo ya waislamu hayakuhusu...kaa kwa kutulia ,angalia huyo mnafiki wako.
Sahivi tumefikisha bei ganiW
Ewe mkata viuno propaganda zenu zimebuma CHADEMA HIYOOOOOO INASONGA MPAKA INAKERAAAAAAAAAAA
Go go go aheadCHADEMA Marathon 334 ninini?
CHADEMA Marathon 334 ni kampeni maalum ya kuchangisha fedha iliyozinduliwa na chama kikuu cha upinzani nchini Tanganyika.
Lengo kuu la kampeni hii ni kukusanya kiasi cha Shilingi Milioni 334 za Kitanzania ili kufanikisha shughuli mbalimbali za chama.
Fedha zitakazopatikana kwenye kampeni hii zitatumika kugharamia na kuandaa mkutano mkuu ujao wa chama unaojulikana kama Baraza Kuu la Umma.
Mkutano huu muhimu umepangwa kufanyika tarehe 15 Septemba 2026.
Ndani ya wiki ya kwanza tu tangu kuzinduliwa kwa kampeni hii mnamo Julai 2026, chama kilifanikiwa kukusanya zaidi ya Shilingi Milioni 81 kutoka kwa wanachama, wapenzi, na wananchi kwa ujumla.
Kwa wadau na wafuasi wanaotaka kuchangia kampeni hii ya ukusanyaji wa fedha, chama kimetoa njia rasmi na salama za malipo.
Unaweza kutuma mchango wako kupitia M-Pesa kwenda namba 0744446969 (Jina la Akaunti: CHADEMA HQ) au kupitia Benki ya NMB kwa namba ya akaunti 22606600140 (Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo).
Kuwa sehemu ya mabadiliko.. Changia sasaπ₯
Updates:
Mpaka leo, Julai 20, 2026 - tayari 145Mπ₯π₯π₯
View attachment 3632395View attachment 3632931
Kuwa'block' ni kama kuwapa heshima fulani.Watu kama hao unapiga block unatupa kwenye dustbin
Naona mgalatia umevamia maji marefu, nenda huko mke wa Lissu.Wewe hata uislam huna. Ni takataka tu kama kinyesi cha shetani.
Nimekwisha kufahamisha, wewe ni takataka tu, sasa unataka nini tena; kunipotezea muda humu?Naona mgalatia umevamia maji marefu, nenda huko mke wa Lissu.
Naona shobo debe , ebu tafuta kazi ya kufanya ..Kuhsu kuongoza hii nchi sahau.Nimekwisha kufahamisha, wewe ni takataka tu, sasa unataka nini tena; kunipotezea muda humu?
Wewe ni takataka, hakuna kinachoweza kubadili hali yako hiyo kuwa tofauti na sifa hiyo ya takataka.Naona shobo debe , ebu tafuta kazi ya kufanya ..Kuhsu kuongoza hii nchi sahau.
Punguza shoboWewe ni takataka, hakuna kinachoweza kubadili hali yako hiyo kuwa tofauti na sifa hiyo ya takataka.
Ni hivi: sitaki kuharibu mada hii muhimu na takataka kama wewe, ila nakupa ahadi wakati mwafaka, nikuonyeshe ulivyo takataka hasa.Punguza shobo
Unachekesha sana dogo , shobo nyingi , uliitwa kama sio nyege?Ni hivi: sitaki kuharibu mada hii muhimu na takataka kama wewe, ila nakupa ahadi wakati mwafaka, nikuonyeshe ulivyo takataka hasa.
Ni ahadi. Huwa sipuuzi ahadi ninapoitoa.Unachekesha sana dogo , shobo nyingi , uliitwa kama sio nyege?
Ni ahadi. Huwa sipuuzi ahadi ninapoitoa.
Kwa hiyo tusubiri huko mbele ya safari. Hapa siyo mahali pake.
Sasa hili nitakujibu, kwa sababu ni ndani ya mada husika:kwa hesabu tu , Dar tu ina watu karibia mil 7 , au tuseme 6 , nusu yake ni mil 3 , robo yake ni mil 1.5 ..Tusema hivi kwa Dar tu , mpate watu mil 1 , wakitoa 1,000 kila mmoja ni shiling bil 1. Bado mnazunguka .
katika watanzania mil 60 , mpate tu wanachama mil 10 , kila mmoja atoe shilingi 100 basi mtakuwa na bil 1 . Ila mnapenda kudanganya watu kwamba mna watu wengi , sasa assume Tanzania nzima mnazunguka na mil 300 hata nusu hamjafika .
Siku ya ngapi mnahangaika , wakati ni jambo la siku mbili tu ?Sasa hili nitakujibu, kwa sababu ni ndani ya mada husika:
Wewe umeambiwa na nani kwamba kutakuwepo na ugumu wa kupata hiyo pesa kutoka kwa wananchi; mbona kampeni inakwenda vizuri kabisa.
Nakuomba uwasililiane na wakuu wako ndani ya chama (kama bado kipo) kinachoitwa CCM, halafu uweke kampeni kama hii inayofanywa sasa na CHADEMA. Waeleze hao wakuu wako wasitumie polisi na vyombo vingine vya dola kushawishi (kulazimisha) watu watoe michango yao.
Ukifanya hivyo, rudi hapa tujadili hiyo hoja yako vizuri.
Wewe inakuwasha nini. Basi ngoja tukubaliane na wewe hatuna wanachama tunawanachama 1000 tu. CHADEMA haipo, imeshakufa, CHADEMA. CCM juu. Nadhani utakuwa umefurahi sasaSiku ya ngapi mnahangaika , wakati ni jambo la siku mbili tu ?
π π πMatapeliWewe inakuwasha nini. Basi ngoja tukubaliane na wewe hatuna wanachama tunawanachama 1000 tu. CHADEMA haipo, imeshakufa, CHADEMA. CCM juu. Nadhani utakuwa umefurahi sasa