😏Mlenda
Mlenda nipigwe kwanza nusu kaputi ndo niule.....siweziNi aina ya mlenda,
Huwa ni tamu sana.
Mlenda wa unga unachanganya na jamii ya mikunde baada ya kuchemsha mikunde Na kuiva ndipo unakoroga pamoja.
Wewe utakuwa ni Mchaga?
Maana mlenda unapikwa kwenye makabila mengi bongo isipokuwa uchagani.
Wangekuchemshia hata vimchicha au Ngogwe kwa bamia Mara moja.
mimi hata bamia,nyanya chungu na bilinganya labda lirojeke nisilibaini ila habari nalila nikifikiri ni nyama kumbe ni bilinganya aisee hua nazipembua natupia kukuMlenda nipigwe kwanza nusu kaputi ndo niule.....siwezi
mimi hata bamia,nyanya chungu na bilinganya labda lirojeke nisilibaini ila habari nalila nikifikiri ni nyama kumbe ni bilinganya aisee hua nazipembua natupia kuku
but not palatableThey are very nutritious.
Nilijua niko peke yangu nisiyependa hizo vitumimi hata bamia,nyanya chungu na bilinganya labda lirojeke nisilibaini ila habari nalila nikifikiri ni nyama kumbe ni bilinganya aisee hua nazipembua natupia kuku
hata Cabbage sijui ni nani aligundua kama ni chakula hua nakula kwenye salad basi tuh kibishiNilijua niko peke yangu nisiyependa hizo vitu
Siziwezi pia...Kwa kweli...mimi hata bamia,nyanya chungu na bilinganya labda lirojeke nisilibaini ila habari nalila nikifikiri ni nyama kumbe ni bilinganya aisee hua nazipembua natupia kuku
hata Cabbage sijui ni nani aligundua kama ni chakula hua nakula kwenye salad basi tuh kibishi
but not palatable
Mwenzio nilichanganyiwa mpka na maembe mabichi tanga kiboko yalinishinda yale mapishiTembea uone,
Nimeenda huko kunakosifiwa kwa mapenzi na mapishi, nimekutan na mboga ya ajabu sana sijawahi kuiona.
Inaotwa hombo za/ja Mungu, yani ni kama vile hina, au majani ya chai yaliokorongwa.
Af wenyeji wakachanganya kwenye maharage, yani nimeshindwa kula kabisa, kama yale ndo mapishi ya Tanga, basi hamna kitu
Mlenda nipigwe kwanza nusu
😁😁Mlenda nipigwe kwanza nusu kaputi ndo niule.....siwezi
Ukiizoea utaifata barabara ya 19Tembea uone,
Nimeenda huko kunakosifiwa kwa mapenzi na mapishi, nimekutan na mboga ya ajabu sana sijawahi kuiona.
Inaotwa hombo za/ja Mungu, yani ni kama vile hina, au majani ya chai yaliokorongwa.
Af wenyeji wakachanganya kwenye maharage, yani nimeshindwa kula kabisa, kama yale ndo mapishi ya Tanga, basi hamna kitu
Napenda hata uchanganywe na maharage au kunde aisee na nyama ya kuchoma pembeni yenye kachumbali.Kama sikosei huo mlenda waluguru wanauta mwage. Wengine wanachanganya na mbaazi.
Mimi kwakweli mlenda siuwez bora nile ugali mkavu
Napenda hata uchanganywe na maharage au kunde aisee na nyama ya kuchoma pembeni yenye kachumbali.