SI KWELI Mboga za majani aina ya Chainizi husababisha upungufu wa Nguvu za kiume

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Nani alikudanga kuwa mwili wa binadamu una sumu? Umekuwa nyoka? Hii ni nadharia ya kibongo-bongo. Utasikia mtu anasema mboga au tunda fulani eti linaondoa sumu mwilini. Hii ni njia ya layman kuelezea mambo ya afya.
 
Fasting inaondoaje SUMU mwilini???
 
Ukijuwa ni kwanini iliitwa au kupewa jina hilo na chimbuko la hiyo mboga hauta tamani kuitumia tena.πŸ“ŒπŸ”¨
 
Ninakushauri kama unataka kuishi kwa furaha kwa hapa Dar es Salaam usile mboga ya majani iitwayo chainizi, miaka ya zamani mboga hii iliishi shambani kwa furaha na raha kiasi ikajijengea sifa, lakini miaka ilivyokwenda akatokea mdudu aitwae nzimweupe, mdudu huyu hudhoofisha shina kwa haraka sana.

Mboga inapendwa na inakua kwa haraka sana sasa nini cha kufanya, mkulima wa hii mboga ikamlazimu ainyunyuzie dawa kuwaua hao wadudu, hivyo inanyunyuziwa dawa leo na leo inavunwa na leo mlaji anaila bila kujua kuwa imenyunyuziwa dawa labda tu kama una pua nzuri utaisikia harufu ya hiyo dawa ambayo itakudhuru wewe taratibu, kweli umasikini aghari.
 
saivi bila mbolea na makemikali mengine makali sana bado haujazalisha mboga yoyote.
Kama unajipenda ACHANA NA MBOGAMBOGA ZOTE sio Chinese tu.
Si kweli..
Samadi inatosha..
At home garden
 
Hivyo, chinese haina shida. Bali walimaji wa Chinese ndiyo wenye shida.

Hapa unamaanisha nini..?
Mboga nyingi za dar zinalimwa kwenye mabonde yenye mtiririko wa maji toka viwandani or mto msimbazi uliojaa kila aina ya taka, sehemu utakayokua na uhakika ni kwa mtu anaelima mboga kwa kuchimba visima na hii ni nje ya mji km ni katikati Basi mnakula mboga zenye mavi yenu wenyewe.
Ndio maana watu wengi hawapendi mboga mboga za majani za mjini
 
Mimi napiga na nachanganya na kitimoto
 
Walizituhumu kuwa zinapunguza nguvu za kiume. Tokea hapo ikawa ni mtihani kwa baadhi ya watu kuzila. Ila si kweli.
 
Mi binafsi sizipendi tu hata utie karanga hiyo mboga nilipishana nayo bila kujua sababu.
Mboga inajiongeza maji yenyewe kwenye bakuli ya nini hiyo?
 
Siyapendi hayo majani aisee! Sidhani kama yanatatizo kiafya though!
Tembele, mchicha, majani ya maboga, kunde, maharage, mnafu, kisamvu na figiri hizo ndio mboga nizipendazo! Zipikwe kiasili saafiπŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
Mnafu si mzuri kwa wazee gout
 
Basi mnakula mboga zenye mavi yenu wenyewe
Daaah aiseer
 
Ujinga na umasikini ni bado ni janja la taifa.
 
Kama huna nguvu huna tu, mie chainizi naitafuna vizuri, nipate ugali, chainizi na kuku, samaki au nyama ya kukaanga, nakula mpaka nahemea juu juu, nikipata na juice baridi, hapo janabi namuona kama mganga wa kienyeji πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Waliotakiwa kujibu hili sio USAID kwanza wao ndo wanaleta adi Michele wenye virutubisho, mamlaka ya afya na TBS ndio wajibu hili
Siku hizi nafaka toka viwandani hapa Tanzania zina virutubisho, sijui kama unavijua hivyo virutubisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…