Umeongea na wananchi wa kila nchi duniani kote na kuwauliza kuhusu amani kwao kupitia simu?Kupitia simu tu mkuu
Oya punguzaUmejuaje nchi zngn duniani hawazungumzii amani nchini kwao?
PunguzaUmeongea na wananchi wa kila nchi duniani kote na kuwauliza kuhusu amani kwao kupitia simu?
Utajifunzaje amani ndani ya biblia iliyokua inahamsisha mauaji na vamizi mpaka kuua vichanga?Bible inasema mkisikia amani,amani mjue uharibifu unakaribia.. kaa chonjo!.
Yaan hao ndio wanaongoza kwa kuishi kwa amani zaidi?Kuna hawa wamba hapa:
Sudan, Ukraine, Israeli na Palestina (Gaza), Syria, Yemen, Kongo (DRC), Myanmar, Afghanistan, Sudan Kusini, Mali, Burkina Faso, Niger.. baada ya hawa labda ndo iyo Tanzania ina ingia
Wasio na Amani mkuu!!... Nimempa mifano ya nchi zisizo na Aman ulimwenguni Kwa sababu,Yaan hao ndio wanaongoza kwa kuishi kwa amani zaidi?
Tz unaifananisha na hizo nchi?Kuna hawa wamba hapa:
Sudan, Ukraine, Israeli na Palestina (Gaza), Syria, Yemen, Kongo (DRC), Myanmar, Afghanistan, Sudan Kusini, Mali, Burkina Faso, Niger.. baada ya hawa labda ndo iyo Tanzania ina ingia
Ila wewe 😅Tz unaifananisha na hizo nchi?
Hv unaijua vita ww?
Umekaa hapo unakuna mbupu na simu yako afu unailinganisha Tz n hizo nchi 🗑️
Inasikitisha sana mkuu 😂Ila wewe 😅
Kosa ni kujikuna, kwahiyo asijikune mkuu?Inasikitisha sana mkuu 😂
Anajikuna mbupu kwa amani afu analinganisha na nchi zenye vita 😂Kosa ni kujikuna, kwahiyo asijikune mkuu?
Kwa kutokuelewa tu mkuu msamehe😂Anajikuna mbupu kwa amani afu analinganisha na nchi zenye vita 😂
Ukiona hivyo ni hila za walafi waendelee kula bila budhaUkiona watu wanavozungumzia amani mpaka mishipa inawatoka shingoni mh!
Mbona amani ipo sana tu ishu ni hamjawaelewa wananchi au?
Wananchi tunachojua sisi haki ndo hakuna ila amani mbona IPO sana tu!