Mbona amani kwenye hii nchi inazungumzwa kuliko nchi yoyote duniani?

Kuna hawa wamba hapa:
Sudan, Ukraine, Israeli na Palestina (Gaza), Syria, Yemen, Kongo (DRC), Myanmar, Afghanistan, Sudan Kusini, Mali, Burkina Faso, Niger.. baada ya hawa labda ndo iyo Tanzania ina ingia
 
Yaan hao ndio wanaongoza kwa kuishi kwa amani zaidi?
 
Yaan hao ndio wanaongoza kwa kuishi kwa amani zaidi?
Wasio na Amani mkuu!!... Nimempa mifano ya nchi zisizo na Aman ulimwenguni Kwa sababu,
Amesema; Kwa sasa Tanzania inaonekana na kuongelewa kutokua na Amani ulimwenguni kote.
 
Kuna hawa wamba hapa:
Sudan, Ukraine, Israeli na Palestina (Gaza), Syria, Yemen, Kongo (DRC), Myanmar, Afghanistan, Sudan Kusini, Mali, Burkina Faso, Niger.. baada ya hawa labda ndo iyo Tanzania ina ingia
Tz unaifananisha na hizo nchi?
Hv unaijua vita ww?
Umekaa hapo unakuna mbupu na simu yako afu unailinganisha Tz n hizo nchi πŸ—‘οΈ
 
Ukiona watu wanavozungumzia amani mpaka mishipa inawatoka shingoni mh!

Mbona amani ipo sana tu ishu ni hamjawaelewa wananchi au?

Wananchi tunachojua sisi haki ndo hakuna ila amani mbona IPO sana tu!
Ukiona hivyo ni hila za walafi waendelee kula bila budha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…