Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Shida ni zile bia za Duty free na nyamachoma πππSisi kama Taifa tunafeli wapi? Askari wetu wa majeshi mbalimbali wamenenepeana na vitambi juu. Mbona nchi za wenzetu askari wao wako smart bila mavitambi? Mitaala ya askari wetu ibadilishwe huko vyuoni nadhani. Tunatia aibuView attachment 2900417
Sisi kama Taifa tunafeli wapi? Askari wetu wa majeshi mbalimbali wamenenepeana na vitambi juu. Mbona nchi za wenzetu askari wao wako smart bila mavitambi? Mitaala ya askari wetu ibadilishwe huko vyuoni nadhani. Tunatia aibuView attachment 2900417
Mbona Askari wa 3 toka kushoto ana kafriji?Sisi kama Taifa tunafeli wapi? Askari wetu wa majeshi mbalimbali wamenenepeana na vitambi juu. Mbona nchi za wenzetu askari wao wako smart bila mavitambi? Mitaala ya askari wetu ibadilishwe huko vyuoni nadhani. Tunatia aibuView attachment 2900417
Wanaviita vitambi vya mazoeziUnadhalilisha Jeshi au Unadhalilisha Taifa? Kwa lengo gani Mkuu?
Vitambi Afya. tsk tsk
πππ Anajua, basi tu.Wanaviita vitambi vya mazoezi
Katika majeshi Ukanda huu wa Sahara, JW halina mfano.Kama mumechunguza vizuri mtaona kuna watu humu ili wachafue majeshi yetu lazima walinganishe na majeshi ya Rwanda ila tuliosoma mwanakwerekwe tushaelewa lengo lao.
Kwamba huku rushwa / kufakamia sana ama! Hahaha
mkuu nimecheka kwa sana kwamba lazima upumulie milango yote ya takaVitambi vya mazoezi,misuli yao haimithiliki ukikunjwa kabari lazima upumulie milango yote ya taka.
Haswaaamkuu nimecheka kwa sana kwamba lazima upumulie milango yote ya taka