kidole cha simba
JF-Expert Member
- Jun 3, 2022
- 1,994
- 2,510
huyo aliyweka mkono wa kulia juu ya wa kushoto ana nini?Sisi kama Taifa tunafeli wapi? Askari wetu wa majeshi mbalimbali wamenenepeana na vitambi juu. Mbona nchi za wenzetu askari wao wako smart bila mavitambi? Mitaala ya askari wetu ibadilishwe huko vyuoni nadhani. Tunatia aibuView attachment 2900417