Mbona Couple za JF zimepunguza kasi ni vyuma au mnapambana na hali?

Mbona Couple za JF zimepunguza kasi ni vyuma au mnapambana na hali?

Aaahhh bora niufate mwenyewe tuuu ,, niambie hapa hapa au PM niwap niwakute ??....

Sawa hata Mimi nilitaka nikute kina kiwango zaidi ila shida nikwamba Hunipi taarifa ,siku zinaenda tu ,alafu mbaya nina uhitaji nao naww ukasema niache tuuuu nisubiri wako ..sasa daahhh jaman ingekua labda unanipa bure mtu tunabadilishana lkn chenga nyingi daaahhh..

Ifike mahali watu muwe wawazi ,,km bado unaitumia nijue chakufanya , washikaji kibao nawapiga chenga ili nisikuangushe mwana JF mwenzangu lkn Wewe pasuaa kichwa chenga nyingiii nataarifa hutoi ,unapunguza uuaminifu bana !!.
Basiii mkuu umenichana live nimeelewa,.nimejirekebisha naomba nikufanyie basi fasta fasta si unajua sipendi kukera watu wangu muhimu,.
 
Basiii mkuu umenichana live nimeelewa,.nimejirekebisha naomba nikufanyie basi fasta fasta si unajua sipendi kukera watu wangu muhimu,.
Sawa haina shida mkuuu , ukiwa tayar basi unishtue ila usiniwekee sana muda unakwenda alafu kuna watu nawapotezea nawachenga kweli ili usinione km sikua serious.

Fanya ivo kamanda Wangu !!Uni PM basi nijue ili tufanye mawasiliano yakueleweka nijue Day gan , ungeweza tungetumiana tu kwa njia ya basi !!.
 
Back
Top Bottom