Mbona Dar kila mwanamke mzuri?

nakushauri sana usisahau malengo yaliyokupeleka Dar es salaam, usiwahau wazazi wako, ndugu zako na marafiki zako uliowaacha huko kusini.

Dar es salaam ni mkoa wa Starehe, hauna utamaduni wa kusaidiana kwenye shida,

usipokuwa makini unakufa peke yako kwa msongo wa mawazo na unaweza kujiingiza kwenye wizi, ujambazi au matumizi ya madawa ya kulevya.
 
Rudi kusini mkuu kabla hujachelewa.
 
Nimekupata mkuu nashkuru kwa ushauri mzuri
 
Umemalizia vizuri,usihame piga mashine Ila tundu zao kubwa sana
 
Ashike sana hapa!! Dar n km jehanamu, haina ushirikiano hata.
 
SIo wewe ndio fisi?
 
Wazuri bado hawajazaliwa utawazaa wewe, (the beautiful ones are not yet born)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…