Mbona Dar kila mwanamke mzuri?

Mbona Dar kila mwanamke mzuri?

Dar wanaume wanaweza jibana kwenye kula ila sio kwenye pombe na wanawake wanaweza jibana kwenye kula ila sio kwenye maswala ya kupendeza. Ukiwa Dar ndo unaelewa waliosema Umaridadi unaficha umaskini.
Ukiona nyumba wanazotoma ndio utakubaliana na huo msemo
 
Kuna mmoja alinipigia hayo makelele nikamuacha na makelele yake
Hatari mwanawane ila hizi mbususu tamu nyie sema dah...zimepanda bei naona watu wanahonga sana.
Anyways mkidume hakuna burudnai nzuri kuliko kula mbususu tusake hela tuu hawa wanawake ndio vyombo vyetu vya starehe...tuvichezee tutakavyo
 
Duuh! Wakuu ndio maana mnang'ang'ania kuishi Dar nimefika kwa mara ya kwanza juzi leo nipo kituoni hapa mlimani city kila mwananmke anayepita mzuri.

Najiuliza watu wa Dar wanawezaje kuishi huu mji maana ni hatari, mpaka dakika hii sijaona mwanamke mbaya wote ni moto wa kuotea mbali.

Haki ya nani na mimi sihami.
Sasa kituo mliman city nenda mtoni huko ujionee
 
Naishi Dodoma kwa sasa, na nimekaa miaka mingi, hata mijini tu hakuna wagogo wazuri zaidi ya wanafunzi wa vyuo ambao ni makabila mengine.
Kwahio wazaramo wa Dar, ndo wanazidi wagogo, (hatuangalii kabila kaka, ukabila sio Mambo yetu watz) unatakiwa kuangalia wakazi wa hapo....
Kuna wagogo, Kuna warangi, Kuna wa Iraq, Kuna wanafunz wa vyuo, Kuna watoto wa singidan!, Kuna wafanyakaz wa serikali.. wote wanapatikana dom
 
Sawa ila wagogo hapana kwakweli, Kwanza tabia zao ni mbaya iwe wanawake au wanaume, kazi kuomba omba tu.
 
Duuh! Wakuu ndio maana mnang'ang'ania kuishi Dar nimefika kwa mara ya kwanza juzi leo nipo kituoni hapa mlimani city kila mwananmke anayepita mzuri.

Najiuliza watu wa Dar wanawezaje kuishi huu mji maana ni hatari, mpaka dakika hii sijaona mwanamke mbaya wote ni moto wa kuotea mbali.

Haki ya nani na mimi sihami.
Mavazi
Vipodozi
Kuoga
Ndio wale wale aliowaacha Niombe kinachowatofautisha ni hicho
 
Back
Top Bottom