Mbona Dkt. Phillip Mpango na Prof. Palamagamba Kabudi wameteuliwa haraka kuwa Mawaziri?

Mbona Dkt. Phillip Mpango na Prof. Palamagamba Kabudi wameteuliwa haraka kuwa Mawaziri?

Neno la Magufuli ndio Sheria ya nchi hii.
Kwanza huu uteuzi umekiuka utaratibu wa kikatiba. Ibara 51(1) ya Katiba yetu ta Tanzania inasema Waziri Mkuu kabla hajaanza kazi lazima ale kiapo mbele ya Rais. Pia ibara ya 55 inamtaka Rais kushauriana na Waziri Mkuu kabla hajaunda baraza la mawaziri.
 
Wapendwa ktk kila jambo tujitahidi sana kutumia akili, yanayotokea ktk nchi yetu ni matokeo ya kutotumia vizuri akili zetu. Ila bado kuna wenzetu wao pia hawaoni haya wanaona sawa tu.

Jitathmin kama unaitumia vizuri akili yako ktk kuishauri serikali yako! Uzuri matokeo ya haya mambo yanatuathiri wote. Waliosema nchi inakoenda hatujui ndo niliwaelewa tar.29/10/2020 asubuhi.
 
Dikteta anahamua chochote tu hata kama kuna katiba

Serikali corrupt huwa inapitisha haraka haraka viongozi ambao waweka mianya ya Rushwa
 
Mimi nakushangaa wewe unaejiuliza hili swali kwa Tz hii
 
Wa kwenu jana tu baada ya kifo cha Rais mstaafu wa Ghana baada ya kutuma salam kwa kifo cha Rawling akasema Lawling kisha akafuta haraka haraka na kuandika tena kwa usahihi, lijamaa lenu bomu sana.

Akipata fursa ya kuhutubia EU atafyatua KIINGLISH Hicho mpaka tutakoma
Muongo hahutubii chochote ndio maana hakutaja siku Wala muda yaleyale ya Ohhh kutakuwa na mdahalo na Raisi wa Ghana
 
Usiku wameanza na kuvunja katiba na sheria,safari hii hawatafika popote Magufuli kafanya hivyo makusudi au kwa kutokujua kwakuwa hakuna wapinzani bungeni na hakuna wa kuhoji
 
Back
Top Bottom