Katashekadm
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 728
- 775
Umeuliza swali, alafu utoa majibu, alafu inatia jawabu!
Labda ndiyo uandishi
Labda ndiyo uandishi
Anateua watu wa kukutana na mabalozi + wahisaniSijawahi kusikia wala kuona popote kuwa baraza jipya la mawaziri linaundwa kwa kuunga unga hvi
Kama mitandao haina impact mbona babu yako alizima kwenye Uchaguzi?Tatizo lenu kwenye mitandao mnajifanya wajuaji ndo maaukisoma jf utafikiri TL ni maarufu Sana kumbe zero kabisa kwa wananchi wa kawaida.
Akikujibu nishtueKama mitandao haina impact mbona babu yako alizima kwenye uchaguzi?
Anaponda mitandao alafu yeye mwenyewe tunashinda naye mitandaoni.Akikujibu nishtue
Matokeo ya nidhamu ya woga "mtu wa ndiyo boss we don't reason "Mbele Giza Bara Bara ina mashimo na mamba hatutafika salama tume tengeneza giza wenyewe[emoji848]
Hayo ni yako, kila kitu mnatumia mazoea kama unaina kakosea nenda mahakamaniNeno la Magufuli ndio sheria ya nchi hii.
Unateuaje mawaziri bila kuwa na kiongozi wao? Waziri Mkuu ameapishwa? Pili, ni kweli Katiba inaeleza Rais halazimiki kupokea ushauri lakini haijasema HATAKIWI kupokea ushauri. Katiba imeeleza wazi kabisa. Magufuli kavunja katiba, plain and simpleAcha kupotosha wewe
Ukisoma ibara ya 37( 1) ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, inaeleza
Kuwa Rais aatakuwa huru na hatolazimika kufuata ushauri wa mtu mwingine yeyote...
Mahakama hizi anazojaza dada zake?Hayo ni yako, kila kitu mnatumia mazoea kama unaina kakosea nenda mahakamani
Ukashitaki
Magufuli is thin-skinned. Hana mshipa wa kustahimili kukosolewa kwani anahisi yeye kila kitu anajua.Wameambiwa wana ruhusiwa kukosoa kwa hoja ngoja tuone kwenye hili.au tuendelee kusubiria ile kamati ya Amani na usuruhishi.
He doesn't care anymore!Very much so... and he is acting like everything is okay, judging from his speech today