Mbona Dkt. Phillip Mpango na Prof. Palamagamba Kabudi wameteuliwa haraka kuwa Mawaziri?

Mbona Dkt. Phillip Mpango na Prof. Palamagamba Kabudi wameteuliwa haraka kuwa Mawaziri?

Simple. First, call for an inclusive dialogue with disgruntled parties. Discuss on the way forwad and reach a consensus. Compromises have to be made clearly, example, the restructuring of the National Electoral Commission to make it Independent.

Lastly and more importantly, respect our democratic values. The government has to show its willingness and commitment. To start off it has to release all political prisoners and create an environment that moves away from toxic and divisive politics we are currently experiencing.
 
Mwaka 2015 Maalim Seifu alisema Zanzibar itanyimwa fedha na nchi za Ulaya, pia akasema Zanzibar atakabidhiwa yeye,
Vipi, hayo yote yalitimia? Tanzania ni nchi inayoongozwa na Rais Msukuma aliyekulia Usukumani.
Kwani Zanzibar haikunyimwa hela. Au ulikua hufuatilii siasa? Kwa taarifa yako Marekani ilikatiza msaada wake wa mabilioni 2016. Jumuiya ya Ulaya na nchi za magharibi ziliacha pia kujihusisha na serikali ya Zanzibar. Hakuna miradi mipya iliyofadhiliwa na Zanzbar miaka mitano iliyolita. Hushangai kwanini Mwinyi analilia maridhiano?
 
Bei gani waligoma kutoa? Au unaongea tu.
 
Kutokana na Mazingira ya Nchi Wizara ya Fedha na Mambo ya Nje ni lazima waanze majukumu haraka sana ....mfano kuweka mahusiano mazuri na Wadau wa Maendeleo ni suala la kwanza
 
Mwaka 2015 Maalim Seifu alisema Zanzibar itanyimwa fedha na nchi za Ulaya, pia akasema Zanzibar atakabidhiwa yeye,
Vipi, hayo yote yalitimia? Tanzania ni nchi inayoongozwa na Rais Msukuma aliyekulia Usukumani.
dollar milion 500 yaani trillion moja ilikatwa na USA kwa Zanzibar aisee hujagundua mzigo uliokuwepo huku awamu hii kugharamia Zanzibar, hivi nyie wa wapi nyie watu, ushabiki gani huo?
 
Ila wakati mwingine katiba inazingua...

Huenda mzee baba anataka majukumu fulani yaende chap chap na makatibu wa wizara husika hawawezi kuya push
 
Mbele Giza Bara Bara ina mashimo na mamba hatutafika salama tume tengeneza giza wenyewe🤔
nakuhakikishia hakuna chochote kinacho endelea mkuu.. lissu ndio kaisha ivoo, tusubiri 2025
 
Bajeti ya serikali ni kama mtaji wa kampuni unachangiwa na majority shareholder ambao wana miliki 60%(kodi za wananchi) na 40% ambao ni kama minority shareholders ambao uwakilishi wao lazima uwepo katika chombo kikuu cha kufanya maamuzi ambalo ni bunge. Sasa kwa mtazamo huo unaona kuna kila dalili minority kujitoa kutokana na kukosekana uwakilishi bungeni.
 
Acha kupotosha wewe

Ukisoma ibara ya 37( 1) ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, inaeleza

Kuwa Rais aatakuwa huru na hatolazimika kufuata ushauri wa mtu mwingine yeyote

Maana yake nini?

Ni kweli kabisa kwenye ibara ya 55(1) , imesema Rais atateua baraza la mawaziri baada ya kushauriana na waziri mkuu

Lakini katiba hiyo haijamfunga mheshimiwa Rais,kuwa ni lazima ashauriane kwanza na waziri mkuu, kabla ya kuteua baraza la mawaziri

Hivyo basi, mheshimiwa Rais anao uwezo wa kuteua waziri au baraza la mawaziri, bila hata ya kushauriana na waziri mkuu

Kwa hiyo uteuzi wa mawaziri hawa, Profesa Palamagamba Kabudi na Dr Philip Mpango,kabla ya waziri mkuu kula kiapo , uko sawa kabisa na hakuna kifungu chochote cha katiba kilichovunjwa
Hata Shetani atakuwa na watetezi siku ya mwisho SO NO WONDER.
 
Mmoja kazi yake kubwa ni kwenda kutuliza popo huko nje kwakutolea Mabeberu mimacho nakuwahadaa Uchaguzi ulikuwa huru na haki.
Mwingine anafuata nyuma na bakuli la kuomba mikopo.
Aangalie tu hao mawaziri wake wasipigwe pini ya kutokukanyaga huko
 
Back
Top Bottom