Kaitampunu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 2,456
- 1,366
Kipanya, shikamoo!
Kipanya, shikamoo!
Kwani Zanzibar haikunyimwa hela. Au ulikua hufuatilii siasa? Kwa taarifa yako Marekani ilikatiza msaada wake wa mabilioni 2016. Jumuiya ya Ulaya na nchi za magharibi ziliacha pia kujihusisha na serikali ya Zanzibar. Hakuna miradi mipya iliyofadhiliwa na Zanzbar miaka mitano iliyolita. Hushangai kwanini Mwinyi analilia maridhiano?Mwaka 2015 Maalim Seifu alisema Zanzibar itanyimwa fedha na nchi za Ulaya, pia akasema Zanzibar atakabidhiwa yeye,
Vipi, hayo yote yalitimia? Tanzania ni nchi inayoongozwa na Rais Msukuma aliyekulia Usukumani.
Bei gani waligoma kutoa? Au unaongea tu.Kwani Zanzibar haikunyimwa hela. Au ulikua hufuatilii siasa? Kwa taarifa yako Marekani ilikatiza msaada wake wa mabilioni 2016. Jumuiya ya Ulaya na nchi za magharibi ziliacha pia kujihusisha na serikali ya Zanzibar. Hakuna miradi mipya iliyofadhiliwa na Zanzbar miaka mitano iliyolita. Hushangai kwanini Mwinyi analilia maridhiano?
Naona unaleta ubishi aya soma hapo - US pulls Tanzanian aid worth $470m over Zanzibar voteBei gani waligoma kutoa? Au unaongeatu
Makaburu watu wabaya sana.Naona unaleta ubishi aya soma hapo - US pulls Tanzanian aid worth $470m over Zanzibar vote
Tobaaa, safari hii naamini mkono wa Mungu hautamuacha salama.Anateua watu wa kukutana na mabalozi + wahisani
AkomeTobaaa, safari hii naamin mkono wa Mungu hautamuacha salama.
dollar milion 500 yaani trillion moja ilikatwa na USA kwa Zanzibar aisee hujagundua mzigo uliokuwepo huku awamu hii kugharamia Zanzibar, hivi nyie wa wapi nyie watu, ushabiki gani huo?Mwaka 2015 Maalim Seifu alisema Zanzibar itanyimwa fedha na nchi za Ulaya, pia akasema Zanzibar atakabidhiwa yeye,
Vipi, hayo yote yalitimia? Tanzania ni nchi inayoongozwa na Rais Msukuma aliyekulia Usukumani.
nakuhakikishia hakuna chochote kinacho endelea mkuu.. lissu ndio kaisha ivoo, tusubiri 2025Mbele Giza Bara Bara ina mashimo na mamba hatutafika salama tume tengeneza giza wenyewe🤔
Muda ni mwalim ngoja tusubiri mda Utupe fundishonakuhakikishia hakuna chochote kinacho endelea mkuu.. lissu ndio kaisha ivoo, tusubiri 2025
Anachora zebra cross kwenye barabara ya vumbi, gari zikipita mara mbili tu inafutika,ndivyo wanavyojitahidi kufanya wanasisiemuAliye elewa plzzz
Hata Shetani atakuwa na watetezi siku ya mwisho SO NO WONDER.Acha kupotosha wewe
Ukisoma ibara ya 37( 1) ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, inaeleza
Kuwa Rais aatakuwa huru na hatolazimika kufuata ushauri wa mtu mwingine yeyote
Maana yake nini?
Ni kweli kabisa kwenye ibara ya 55(1) , imesema Rais atateua baraza la mawaziri baada ya kushauriana na waziri mkuu
Lakini katiba hiyo haijamfunga mheshimiwa Rais,kuwa ni lazima ashauriane kwanza na waziri mkuu, kabla ya kuteua baraza la mawaziri
Hivyo basi, mheshimiwa Rais anao uwezo wa kuteua waziri au baraza la mawaziri, bila hata ya kushauriana na waziri mkuu
Kwa hiyo uteuzi wa mawaziri hawa, Profesa Palamagamba Kabudi na Dr Philip Mpango,kabla ya waziri mkuu kula kiapo , uko sawa kabisa na hakuna kifungu chochote cha katiba kilichovunjwa
Aangalie tu hao mawaziri wake wasipigwe pini ya kutokukanyaga hukoMmoja kazi yake kubwa ni kwenda kutuliza popo huko nje kwakutolea Mabeberu mimacho nakuwahadaa Uchaguzi ulikuwa huru na haki.
Mwingine anafuata nyuma na bakuli la kuomba mikopo.