Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Anavyokula kodi zetu anaona kila mtu anakula kama yeyeMkuu ni kwasababu ya ugali wa bure anaoupata magogoni. Angekuwa anajituma kujinunulia msos asingefanya mambo ya ajabux2.
Magonjwa Mtambuka
Acha kuharibu majina ya watu, hiyo ni tabia mbaya na kosa.Hivi Mtundu anahutubia saa ngapi Bunge la Ulaya?
Kwanza huu uteuzi umekiuka utaratibu wa kikatiba. Ibara 51(1) ya Katiba yetu ta Tanzania inasema Waziri Mkuu kabla hajaanza kazi lazima ale kiapo mbele ya Rais. Pia ibara ya 55 inamtaka Rais kushauriana na Waziri Mkuu kabla hajaunda baraza la mawaziri.
Tena ungejua wanaokuja bora Pompeo. Republicans (chama cha Pompeo) hawaingilii sana mambo ya ndani kama Democrats. Kwahiyo jiandaeni kwa mbinyo zaidi ya huyu pompeoWewe unaishi dunia ipi? Pompeo tayari wameshamla kichwa wenye akili zao. Imeisha hiyoooooooooooooo
Najua hafuati, nimeweka tu kwenye rekodiKwani huyu mzee anafuata katiba na sheria? umewahi kuona kuna kaimu Jaji Mkuu?
Hana jipyaNajua hafuati, nimeweka tu kwenye rekodi
Sijawahi kusikia wala kuona popote kuwa baraza jipya la mawaziri linaundwa kwa kuunga unga hviDikteta anahamua chochote tu hata kama kuna katiba
Serikali corrupt huwa inapitisha haraka haraka viongozi ambao waweka mianya ya Rushwa
Hatuna viongozi bali tuna watawalaSijawahi kusikia wala kuona popote kuwa baraza jipya la mawaziri linaundwa kwa kuunga unga hvi
Muongo hahutubii chochote ndio maana hakutaja siku Wala muda yaleyale ya Ohhh kutakuwa na mdahalo na Rais wa GhanaHivi Mtundu anahutubia saa ngapi Bunge la Ulaya?
Muongo hahutubii chochote ndio maana hakutaja siku Wala muda yaleyale ya Ohhh kutakuwa na mdahalo na Raisi wa Ghana
Very much so... and he is acting like everything is okay, judging from his speech todayThere is an impending risk of diplomacy and economic crisis in Tanzania and its knocking the door.
Pompeo yuko madarakani mpaka mwishoni mwa January. Tena sasa ndio wako hatari zaidi.Wewe unaishi dunia ipi? Pompeo tayari wameshamla kichwa wenye akili zao. Imeisha hiyoooooooooooooo