Mbona Dkt. Phillip Mpango na Prof. Palamagamba Kabudi wameteuliwa haraka kuwa Mawaziri?

  1. Ni kawaida sana kwa JPM kuvunja katiba.
  2. Amewahi kuwateua hawa watu ili wawahi kudhibiti mapigo ya TL kifedha na kidiplomasia.
 
This time hii Prof Kabudi ataikimbia... atakumbukia maisha ya kufundisha chuo.
 
  1. Ni kawaida sana kwa JPM kuvunja katiba.
  2. Amewahi kuwateua hawa watu ili wawahi kudhibiti mapigo ya TL kifedha na kidiplomasia.
Lissu wamempaisha wenyewe, fikiri mtu anajianda kuhutubia Bunge la Ulaya - hii kitu si cha mchezo! Waafrika wangapi wameshapata nafasi kama hiyo?
 
Sasa kama Rais hashitakiwi kwa lolote kwa mujibu wa katiba, unategemea nini [emoji23][emoji23][emoji23]
Acha aivunje tu hiyo katiba
Ni ya kipuuzi
 
This time hii Prof Kabudi ataikimbia... atakumbukia maisha ya kufundisha chuo.
Actually kwa msiojua, mwaka 2019, Professor Kabudi alitaka kuresign, sema Magufuli alimkatalia. Magufuli anamwona kama "Fixer" flani hivi
 
Mzigo umekata hazina kwa sababu hii: "We have financed the electoral process by internally generated funds". Wameyataka wenyewe kwa kuhofia wangalizi wa uchaguzi waliomakini kutoka kwa wafadhili.
Ukiondoa kwamba tumefinance elections, Serikali ya CCM imetumia nguvu na pesa nyingi sana kuiba uchaguzi. Jiandaeni kwa yale maigizo ya "sherehe za uhuru zimefutwa"
 
Pamoja na hilo, lakini kiuhalisia PM hana nguvu wala impact kwa utawala huu wa JPM.

Sioni nani kati yao anaweza hoji lolote kwa hii miaka 5 iliyobaki.
 
Pamoja na hilo, lakini kiuhalisia PM hana nguvu wala impact kwa utawala huu wa JPM.

Sioni nani kati yao anaweza hoji lolote kwa hii miaka 5 iliyobaki.
Hilo liko wazi mbona hata kipindi cha Kikwete. Lakini wanashindwa hata kutuigizia??
 

Jiwe katuharibia nchi kuliko Trump alivyowaharibia wamarekani.

Wenzetu hatimaye wamempiga stop mbuzi wao.

Hima hima. Hata huyu kwa umoja wetu huyu wetu mbona spidi gavana anafungika!
 
Jiwe katuharibia nchi kuliko Trump alivyowaharibia wamarekani.

Wenzetu hatimaye wamempiga stop mbuzi wao.

Hima hima. Hata huyu kwa umoja wetu huyu wetu mbona spidi gavana anafungika!
Marekani wana bahati ya kuwa na taasisi huru na zinazojitegemea. Huku CCM na taasisi za kiserikali ni kitu kimoja. Ni ngumu sana kukinyofoa madarakani hapo.ndipo tatizo linaanzia.
 
 
Mwaka 2015 Maalim Seifu alisema Zanzibar itanyimwa fedha na nchi za Ulaya, pia akasema Zanzibar atakabidhiwa yeye,
Vipi, hayo yote yalitimia? Tanzania ni nchi inayoongozwa na Rais Msukuma aliyekulia Usukumani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…