Planet Data bundles
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,403
- 4,362
Hongera kwa kumchangia utajiri Bwana ROSTAM AZIZINina mwezi sasa hisa hazipandi kwanza sishashuka
Hapo nilikua na 170,000
Saizi imebaki 148,000
Nasikitika sana HAMKUNISANUA
Lawama zote ni kwa dogo The Icebreaker yeye ndo wakulaumiwa kwa kuwachukia wagalatia bila sababu. Jamaa ni lidini nafiki sana na ana tabia mbofumbofu.Nina mwezi sasa hisa hazipandi kwanza sishashuka
Hapo nilikua na 170,000
Saizi imebaki 148,000
Nasikitika sana HAMKUNISANUA
Cc BEZO JRHisa ndivyo zilivyo… thamani ikipanda hela yako inapanda, ikishuka lazima nayo ishuke.
Me naonaga UTT havichezi sana kwenye Liquid Fund..
Shaka ondoa lakini, vizia ikipanda uza upate chako 😁
Kwa portfolio na hisa ulizonazo hapo wewe moja kwa moja umenunua PAL ikiwemo hiko ni kitanzi umejifunga..!!Nina mwezi sasa hisa hazipandi kwanza sishashuka
Hapo nilikua na 170,000
Saizi imebaki 148,000
Nasikitika sana HAMKUNISANUA
Hiyo hela si bora ungepiga C/lite na wana.Nina mwezi sasa hisa hazipandi kwanza sishashuka
Hapo nilikua na 170,000
Saizi imebaki 148,000
Nasikitika sana HAMKUNISANUA
Kwenye soko la hisa tz hakuna elimu zaidi ya kuwachangia utajiri kina Rostam azizi..samuya na toto lake pumbavu Abdul na kikwete basi.Umenunua hisa za makampuni gani?
Nimeona hapo ziko tatu, je ni zipi?
Na ulipata elimu ya uwekezaji kabla ya kuanza kuwekeza au ulifata upepo?
Dse inamilikiwa na mtuHongera kwa kumchangia utajiri Bwana ROSTAM AZIZI
Ni kweli wote tunawachukia hao watu lakini hili soko lilikuwepo kabla yao.Kwenye soko la hisa tz hakuna elimu zaidi ya kuwachangia utajiri kina Rostam azizi..samuya na toto lake pumbavu Abdul na kikwete basi.
Mtu alikwambia kuna sehemu ya kuweka hela Tu zitulie wewe upate faida Kimbiaa usigeuke nyuma. Hakuna pesa rahisi.Nina mwezi sasa hisa hazipandi kwanza sishashuka
Hapo nilikua na 170,000
Saizi imebaki 148,000
Nasikitika sana HAMKUNISANUA
Wanaweza matajiri sio mafukara ambao hatuna hela hata ya kulaMm huwa nawaambia watu ni bora ukaweka FDR kwenye bank kuliko kununua hisa.
Hisa ni investment ya hela ambayo huna kazi nayo
Si kweliMtu alikwambia kuna sehemu ya kuweka hela Tu zitulie wewe upate faida Kimbiaa usigeuke nyuma. Hakuna pesa rahisi.
Kuna shuhuda nyingi mitaani Hazina uhalisia.
Hisa ni mlango wa ufisadiNi kweli wote tunawachukia hao watu lakini hili soko lilikuwepo kabla yao.
Na watu wanapata pesa kutokana na uwekezaji wao kwenye makampuni.