Mbona harakati za kuidai Zanzibar huru ni kama zimekufa awamu hii?

Watu tunaishi kama tuko kwenye open-air prison (check-points kila 5km) halafu unakuja na hoja za vitunguu ? Hata Palestine chini ya Israel hawana checkpoints nyingi kama Zanzibar.
Sheikh kuwa mkweli... checkpoints ni kwa ajili ya usalama tu...hata huku bara hizo checkpoints zipo.
 
Sheikh kuwa mkweli... checkpoints ni kwa ajili ya usalama tu...hata huku bara hizo checkpoints zipo.
Hata waizrail wanasema hivo hivo ni kwa ajili ya usalama. Unasifiri kutoka Dar hadi Moshi hakuna check-point hata moja, wakati Zanzibar unasafiri Town hadi Nungwi (30-40km) checkpoins atleast 4!
 
Nyie mmetawala miaka mingapi iyo Mzenji kupata mara moja imekuwa jao ... mnaroho mbaya kuliko kunguru.
Siku tukitawala tena zile kelele za uhuru muache. Kumbe huwa siyo kelele za kutaka uhuru huwa mnataka madaraka
 
Tatizo kubwa la Watanganyika ELIMU feki feki feki wanaingozwa kwa vyeti feki dadadeki na ndio maana Ancle Magu R.I.P aliwakalisha
na mivyeti yenu feki nini wasomi njaaa
Boss hanuniwi.....usiwachukie wasomi shekhe hata kama uliishia darasa la madrassa B
 
HII NI MIEZI 8 Ilopita. Subirini Msiwe na haraka
MUNGU pekee ndio anadumu MILELE
 
Tatizo kubwa la Wazanzibari ni ELIMU ELIMU ELIMU
SWALI
ELIMU NGANI Watanganyika Wamewazidi Wazanzibar.
Eti elimu 🤣🤣🤣 ndio kwanza Samia anawajengea madarasa ya primary schools na matundu ya vyoo Duh
 
Sasa kama madai wameshayapata kwa kudra za mnyaazimngu , unataka walalamike tena? imeisha hiyo sasa wako madarakani
 
Ni wakati sasa tuidai Tanganyika huru. Mtikila alijaribu, tuanzie alipoishia.
 
SWALI
ELIMU NGANI Watanganyika Wamewazidi Wazanzibar.
Eti elimu 🤣🤣🤣 ndio kwanza Samia anawajengea madarasa ya primary schools na matundu ya vyoo Duh
Ni elimu gani sio ELIMU NGANI....Jifunze kwanza matumizi ya herufi kubwa na ndogo inaonekana chekechea hukumaliza vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…