Mbona harakati za kuidai Zanzibar huru ni kama zimekufa awamu hii?

Mbona harakati za kuidai Zanzibar huru ni kama zimekufa awamu hii?

Wazanzibari wengi ni watu wanapenda kulalamika sana, huhisi wao ndio wanaonewa kila uchao.

Ila kwa sababu sasa hivi maraisi wote ni wao wa pande zote wanapna wakilalamika itakuwa aibu kwao kwa sababu mipini wameshika wao.

Mama samia anawajua uzuri watu wa Zanzibar
Kijana aliyeletwa kutoka Mkuranga naye Pia ni Mzanzibari?
 
Mlizaliwa pamoja ikulu Na kusoma,Ulisoma naye shule ipi? Vikokotoni au Benbella au Rahaleo?
Ili uwe mzanzibar uwe vipi kwani ?

Usome raha leo na kuzaliwa ikulu,au uzaliwe chwaka na jambiani ?
 
Ili uwe mzanzibar uwe vipi kwani ?

Usome raha leo na kuzaliwa ikulu,au uzaliwe chwaka na jambiani ?

Uletwe Na wavamizi upewe Id ya kupigia kura.
Wavamizi wameitoa nchi wakfu , yeyote anaweza kuwa mzanzibari. Wazanzibari wamefanywa ni wakaazi hata Id inaitwa hivyo ya ukaazi.
 
Uletwe Na wavamizi upewe Id ya kupigia kura.
Wavamizi wameitoa nchi wakfu , yeyote anaweza kuwa mzanzibari. Wazanzibari wamefanywa ni wakaazi hata Id inaitwa hivyo ya ukaazi.
Hujajiilbu swali,punguza jazba.

Ili uwe mzeji uweje ?
 
Uletwe Na wavamizi upewe Id ya kupigia kura.
Wavamizi wameitoa nchi wakfu , yeyote anaweza kuwa mzanzibari. Wazanzibari wamefanywa ni wakaazi hata Id inaitwa hivyo ya ukaazi.
Wrnye zanzibar halisi ni waliopindua au waliopinduliwa ?
 
Hujajiilbu swali,punguza jazba.

Ili uwe mzeji uweje ?

Hamna jaziba hata moja , CCM Na wavamizi wameitoa nchi wakfu , yeyote kutoka Tanganyika hata atokee Kenya,Uganda, Rwanda, Burundi, Kongo , Zambia nk aweza kuwa mzanzibari . Kwa kupitia masheha waliowekwa Na CCM wengi wamepewa Id ya Mzanzibari Mkaazi Na vitambulisho vya kupigia kura. Wazanzibari wazaliwa wengi wamenyimwa. Na jina wnaitwa eti Wazanzibari wakaazi. Hao kutoka Mkuranga ndio wanaambiwa ndiyo Wazanzibari
 
Kwanini huwa mnafeli sana mitihani? Hili swali nauliza huu mwaka wa 10 sijapata jibu

Ni kwa sababu tumevamiwa. Tulipokuwa Na mitihani ya Cambridge tulikuwa hatuna upuuzi Huo Na ndiyo ukaona Wazanzibari wanatunukiwa mpaka Nobel Prize
 
Wana marais wawili sasa wadai nini zaidi??
 
Tatizo kubwa la Wazanzibari ni ELIMU ELIMU ELIMU
SWALI
ELIMU NGANI Watanganyika Wamewazidi Wazanzibar.
Eti elimu 🤣🤣🤣 ndio kwanza Samia anawajengea madarasa ya primary schools na matundu ya vyoo
Ni elimu gani sio ELIMU NGANI....Jifunze kwanza matumizi ya herufi kubwa na ndogo inaonekana chekechea hukumaliza vizuri
ni kweli sikumaliza chekechea
 
Back
Top Bottom