Mbona hatusikii tena habari za ushindi wa magoli mengi? Goli moja limekuwa lulu wakilipata wanashangilia mpaka wanavunja viti!

Mbona hatusikii tena habari za ushindi wa magoli mengi? Goli moja limekuwa lulu wakilipata wanashangilia mpaka wanavunja viti!

Makavuli

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
1,425
Reaction score
1,829
Kulizuka katabia Fulani hivi vijana wa Rage na Mangungu walikuwa wanaizodoa Yanga kwamba inapata ushindi wa kigoli kimoja na wao wanafunga mengi sasa hivi wameufyata kulikoni!

Hicho kigoli kimoja wanapokipata wanashangilia kama wamepata dhahabu ni maajabu haya!
 
Kulizuka katabia Fulani hivi vijana wa Rage na mangungu walikuwa wanaizodoa yanga kwamba inapata ushindi wa kigoli kimoja na wao wanafunga mengi sasa hivi wameufyata kulikoni!
Icho kigoli kimoja wanapokipata wanashangilia kama wamepata dhahabu ni maajabu Aya!
DUBE ANA MAGOLI MANGAPI? HII MECHI YA 8 MFULULIZO NAONA KIMYA TU AU TUMEPIGWA?
 
Tena hayo magoli mengi waliyapata dhidi ya timu dhaifu ambazo wachezaji wake tegemeo hawakucheza kwa kukosa vibari.

Lakini tukapigiwa sana Kelele.
 
Yanga aimtegemei mchezaji Mmoja kuleta matokeo ndio maana magoli yamegawanywa, dube utafika mda wake atafunga!
mimi sijaizungumzia yanga na matokeo anayoyapata mimi nimemzungumzia straika wenu butu dube.
 
Tena hayo magoli mengi waliyapata dhidi ya timu dhaifu ambazo wachezaji wake tegemeo hawakucheza kwa kukosa vibari.

Lakini tukapigiwa sana Kelele.
KENGOLD TIMU DHAIFU WEWE ULIIFUNGA NGAPI? MBONA HUKUIFUNGA TISA BILA?
 
Nadhani sasa umeona utamu na uchungu wa goli MOJA
 
Kulizuka katabia Fulani hivi vijana wa Rage na Mangungu walikuwa wanaizodoa Yanga kwamba inapata ushindi wa kigoli kimoja na wao wanafunga mengi sasa hivi wameufyata kulikoni!

Hicho kigoli kimoja wanapokipata wanashangilia kama wamepata dhahabu ni maajabu haya!
Yote ni Kwa sababu ya ule ujinga wa utopolo kudai kwamba wao wanashinda goli nyingi
 
Back
Top Bottom