DUBE ANA MAGOLI MANGAPI? HII MECHI YA 8 MFULULIZO NAONA KIMYA TU AU TUMEPIGWA?Kulizuka katabia Fulani hivi vijana wa Rage na mangungu walikuwa wanaizodoa yanga kwamba inapata ushindi wa kigoli kimoja na wao wanafunga mengi sasa hivi wameufyata kulikoni!
Icho kigoli kimoja wanapokipata wanashangilia kama wamepata dhahabu ni maajabu Aya!
Yanga aimtegemei mchezaji Mmoja kuleta matokeo ndio maana magoli yamegawanywa, dube utafika mda wake atafunga!DUBE ANA MAGOLI MANGAPI? HII MECHI YA 8 MFULULIZO NAONA KIMYA TU AU TUMEPIGWA?
Waliwabahatisha fountain gate na Tabora united wakiwa dhoofuTena hayo magoli mengi waliyapata dhidi ya timu dhaifu ambazo wachezaji wake tegemeo hawakucheza kwa kukosa vibari.
Lakini tukapigiwa sana Kelele.
Wanaharibu ladha ya mpira.....dak 90 mna park bus robo yao sasa mpira gani huo ? Mmekuja kuweka bus hakuna mbinuuu???Waliwabahatisha fountain gate na Tabora united wakiwa dhoofu
mimi sijaizungumzia yanga na matokeo anayoyapata mimi nimemzungumzia straika wenu butu dube.Yanga aimtegemei mchezaji Mmoja kuleta matokeo ndio maana magoli yamegawanywa, dube utafika mda wake atafunga!
KENGOLD TIMU DHAIFU WEWE ULIIFUNGA NGAPI? MBONA HUKUIFUNGA TISA BILA?Tena hayo magoli mengi waliyapata dhidi ya timu dhaifu ambazo wachezaji wake tegemeo hawakucheza kwa kukosa vibari.
Lakini tukapigiwa sana Kelele.
Mimi nachojua kukufunga wewe Kolo.KENGOLD TIMU DHAIFU WEWE ULIIFUNGA NGAPI? MBONA HUKUIFUNGA TISA BILA?
KenGold kafungwa 1KENGOLD TIMU DHAIFU WEWE ULIIFUNGA NGAPI? MBONA HUKUIFUNGA TISA BILA?
Kwaiyo dube asipofunga yanga anapoteza mechi?mimi sijaizungumzia yanga na matokeo anayoyapata mimi nimemzungumzia straika wenu butu dube.
Mukwala na mutale Wana goli ngapi katika mech 7 NBCDUBE ANA MAGOLI MANGAPI? HII MECHI YA 8 MFULULIZO NAONA KIMYA TU AU TUMEPIGWA?
mukwala magoli 2 na asisti 1,ateba magoli 2 na asisti 1,dube mechi 8 magoli 0, asisti 0.Mukwala na mutale Wana goli ngapi katika mech 7 NBC
Yote ni Kwa sababu ya ule ujinga wa utopolo kudai kwamba wao wanashinda goli nyingiKulizuka katabia Fulani hivi vijana wa Rage na Mangungu walikuwa wanaizodoa Yanga kwamba inapata ushindi wa kigoli kimoja na wao wanafunga mengi sasa hivi wameufyata kulikoni!
Hicho kigoli kimoja wanapokipata wanashangilia kama wamepata dhahabu ni maajabu haya!