Mbona hawa Sijawaona Msibani?

Mbona hawa Sijawaona Msibani?

Nutafakari sana huu uzi wengi wangetamani kwenda ila nafsi zinawasuta ,jokateee kisssrawe alikuwepo Dar ana bahati yeye hajakanyagwa na kufa kama wale raia wengine msigwa alikuwepo Dom na hata Bashite alikuwa mwanza jana kapiga na saluti japo sio mwanajeshi wala hakuwa na uniforms, wengine wagonjwa hawataki kujiexpose kwenye risk bila sababu ya msingi
 
Hata wazee wa buku tano ya kubrashia viatu sijawaona kwa wingi naona wajeda na Askari sugu ndiyo wengi au wamebadilishiwa uniform?
 
Jamani toka tuanze maombolezo na shughuli nzima za kuaga Mwili wa Mh.JPM sijawaona kabisa viongozi wafuatao

1.Mh.Lowasa...Waziri mkuu mstaafu
2.Mbowe Freeman..Aliyekuwa Kiongozi rasmi wa kambi ya upinzani Bungeni ktk serikali ya Hayati ya kipindi cha miaka 4 ya kwanza.

3.Mh.Peter Msigwa.Aliyekuwa Mbunge katika kipindi cha awamu ya miaka 5 ya utawala wa Hayati.JPM. lakini kipekee huyu pia ndugu wa karibu wa Hayati JPM

kwangu hao niliwatarajia kuwaoana na kuwasikia kwa chochote ktk kipind hiki kipya kwa Taifa letu.Labda tuwalaumu media kwamba hawajapa space

Ongeza na wewe wengine ambao ulitegemea uwe umeshawaona au kuwasikia.
Msigwa alikuwa Dodoma juzi nenda kwenye Twitter yake
 
kuna ambao wana mitungi ya okisijeni na diripu zipo pembeni.......hii corona hii....MUNGU utusamehe hakika......kuna ambao wako mochuari mpaka ya Mkuu wa Wakuu yaishe....maana serikali haiwezi kugawanyika.......na kwa desturi kigogo akindei lazima iwe publicity.....
 
Hapa mtaa naoishi kunakijamaa kinatabia kama za mleta thread yaan msiba ukitokea kazi yake ni kunot nani hajafika msibani,,, pumbafu sana. Kwan tutaenda msibani wote jmn na hata akiwepo unaweza kunot wote waliohudhuria
 
Jamani toka tuanze maombolezo na shughuli nzima za kuaga Mwili wa Mh.JPM sijawaona kabisa viongozi wafuatao

1. Mh. Lowassa-Waziri Mkuu Mstaafu

2.Mbowe Freeman - Aliyekuwa Kiongozi rasmi wa kambi ya upinzani Bungeni ktk Serikali ya Hayati ya kipindi cha miaka 4 ya kwanza.

3. Peter Msigwa - Aliyekuwa Mbunge katika kipindi cha awamu ya miaka 5 ya utawala wa Hayati JPM, lakini kipekee huyu pia ndugu wa karibu wa Hayati JPM

Kwangu hao niliwatarajia kuwaoana na kuwasikia kwa chochote ktk kipindi hiki kipya kwa Taifa letu. Labda tuwalaumu media kwamba hawajapa space

Ongeza na wewe wengine ambao ulitegemea uwe umeshawaona au kuwasikia.
Pengine hawakupata kadi za mwaliko!!
 
Back
Top Bottom