Mbona hawa Sijawaona Msibani?

Mbona hawa Sijawaona Msibani?

Kila mtu ana sababu zake za kufika au kutofika Msiban

Hata Mandela pamoja na kusaidiwa kote na Nyerere hakuhudhuria Msiba wa Nyerere na hata Milton Obote Rais wa Uganda alietolewa na Iddy Amin tukaingiza Nchi vitani kumrejesha yeye hakuhudhuria wala kutuma salam za pole

Hata Marehem Mwamba JPM hakuhudhuria misiba mingi ya Wazito wenzie wala kutuma salam kuanzia msiba wa Kingunge, kina Iddy Simba n.k

So Mtu muhimu kwako sio lazima awe muhimu kwa mwingine

Kuna watu wanahoji mbona Baniani hawajaja msiban lakin tunasahau walipofiwa na 'Magufuli wao' Subash Patel, Magufuli wetu hakwenda Msiban wala kutoa pole
Correction:
1.Baniani nimewaona kwny msiba wa Magufuli Dar.

2.Kwny msiba wa Kingunge Magu alienda

3.'Hata Marehem Mwamba JPM hakuhudhuria misiba mingi ya Wazito wenzie'-hii Nakubali.
 
Siyo mjumbe wa baraza la mawaziri, acha uongo.
Mbona sijakuelewa mkuu mimi nimeuliza uyu dotto james ni katibu mkuu wizara ya fedha sasa yeye sio waziri je anaingiaje katika kikao cha baraza la mawaziri mimi nimeuliza nashangaa unanambia niache uwongo je kuuliza ni uongo pia?
 
Back
Top Bottom