Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Hapana.Kwny kikao cha mawaziri, makatibu wakuu wa wizara au seniors wengine wowote hua wanakuwepo iwapo watahitajika kikaoni mkuu.
Hicho kitu hakiwezekani daima.
Kikao cha baraza la mawaziri ni kikao cha kikatiba, kama katiba haijasema wewe kuwa mjumbe wa hicho kikao maana hakuna nafasi ya kuingia.
Makatibu wakuu, manaibu waziri na taka taka nyingine zozote hawawezi kuhudhuria kikao cha baraza la mawaziri.