Mbona hawa Sijawaona Msibani?

Mbona hawa Sijawaona Msibani?

Kwny kikao cha mawaziri, makatibu wakuu wa wizara au seniors wengine wowote hua wanakuwepo iwapo watahitajika kikaoni mkuu.
Hapana.
Hicho kitu hakiwezekani daima.
Kikao cha baraza la mawaziri ni kikao cha kikatiba, kama katiba haijasema wewe kuwa mjumbe wa hicho kikao maana hakuna nafasi ya kuingia.

Makatibu wakuu, manaibu waziri na taka taka nyingine zozote hawawezi kuhudhuria kikao cha baraza la mawaziri.
 
Watu wanapenda mambo ya uongo uongo sanaaa.. [emoji3][emoji3][emoji3]
Wewe ndiye muongo, tangu lini makatibu wakuu wakaingia kikao cha baraza la mawaziri? Kumbuka hata manaibu waziri hawaingii...
 
Msigwa alikuwepo Dodoma na akaaga... Mbowe yupo Dubai wengine sijui
 
Kwny kikao cha mawaziri, makatibu wakuu wa wizara au seniors wengine wowote hua wanakuwepo iwapo watahitajika kikaoni mkuu.
Hawaingii kikaoni hebu acheni uzushi banaa... Hata bungeni wanaenda but wanakuwa nje huko in case kunahitajika clarification but siyo kuingia bungeni...
 
Ukiwa muongo, jitahidi uwe na uelewa wa mambo muhimu. Tokea lini katibu mkuu akahudhuria kikao cha mawaziri?
Alihudhuria, kwa nini alihudhuria hiyo sio kazi yangu
Picha hiyo hapo
Kama humjui ni huyo pembeni ukutani upande wa kushoto(wa tatu)
Screenshot_20210325-194758_1.jpg
 
Hawaingii kikaoni hebu acheni uzushi banaa... Hata bungeni wanaenda but wanakuwa nje huko in case kunahitajika clarification but siyo kuingia bungeni...
Usiwe unabisha Kama Jambo hulifahamu, ni vema ungetafuta hiyo habari.
Ila nimekusaidia kuweka picha uone
Screenshot_20210325-194758_1.jpg
 
Back
Top Bottom