Mbona hawa Sijawaona Msibani?

Lowasa bana kuna za chini chini
 
Lowassa haendi anajua afya yake maambukizi ya corona nje nje
 
Nilizonazo ni kuwa huyu jamaa yupo Ndichi ananyea debe
Sio kwa viongozi hawa!!!kama mambo ya chama yasingekuwa yanapewa kipaumbele, muda huu tungeshuhudia mengi sana, na wateule wa wengi wa meko wangelia na kusaga meno, na hao wanyonge wasingeamini kuwa heee, kumbe upigaji tena mkubwa sana ulikuwa unaendelea nchini?ila kwa wateule wachache tu., na brigedia(meko)ma nyota yote wangemtoa na kuwa mgambo!!!
 
Ukiwa muongo, jitahidi uwe na uelewa wa mambo muhimu. Tokea lini katibu mkuu akahudhuria kikao cha mawaziri?
Wewe ndiye muongo, tangu lini makatibu wakuu wakaingia kikao cha baraza la mawaziri? Kumbuka hata manaibu waziri hawaingii...
Hawaingii kikaoni hebu acheni uzushi banaa... Hata bungeni wanaenda but wanakuwa nje huko in case kunahitajika clarification but siyo kuingia bungeni...
Alihudhuria, kwa nini alihudhuria hiyo sio kazi yangu
Picha hiyo hapo
Kama humjui ni huyo pembeni ukutani upande wa kushoto(wa tatu)
View attachment 1734361
Kwa mnaobisha Doto hakuingia kikaoni basi tufanye huyo hapo pichani ni muwe wenu.
 
Kila mtu ana sababu zake za kufika au kutofika Msiban

Hata Mandela pamoja na kusaidiwa kote na Nyerere hakuhudhuria Msiba wa Nyerere na hata Milton Obote Rais wa Uganda alietolewa na Iddy Amin tukaingiza Nchi vitani kumrejesha yeye hakuhudhuria wala kutuma salam za pole

Hata Marehem Mwamba JPM hakuhudhuria misiba mingi ya Wazito wenzie wala kutuma salam kuanzia msiba wa Kingunge, kina Iddy Simba n.k

So Mtu muhimu kwako sio lazima awe muhimu kwa mwingine

Kuna watu wanahoji mbona Baniani hawajaja msiban lakin tunasahau walipofiwa na 'Magufuli wao' Subash Patel, Magufuli wetu hakwenda Msiban wala kutoa pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…