Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Umesahau ndio rais aliefanya maendeleo makubwa kuliko wote?Umesahau ndo Rais aliyekopa zaidi na kuongeza deni la Taifa kwa kiwango kikubwa zaidi kuliko Rais yeyote kwenye historia ya Tanzania
Kukopa hakukwepeki ila kudanganya sio sawa,bilamikopo mambo hayawezi kusogea kwa kasi inayotakiwa but should not be too much,na lazima matumizi ya mikopo yafanyike kwenye maeneo ya muhimu kukuza uchumi.Sasa msimlaumu Magufuli kwa kukopa.
Huo ndo ukweliKukopa hakukwepeki ila kudanganya sio sawa,bilamikopo mambo hayawezi kusogea kwa kasi inayotakiwa but should not be too much,na lazima matumizi ya mikopo yafanyike kwenye maeneo ya muhimu kukuza uchumi.
Kinyume chake ni kuwa kama Zambia.
Tumekuwa tunaiga iga wenzetu kwa miaka mingi. Tumeanzisha chetu - pesa inakusanywa nyingi kwa ajili ya maendeleo. Serikali imesema itapunguza kiasi cha tozo- tusubiri matokeo ya hayo maboresho. Makusanyo ni makubwa sana - billioni 60 inaonyesha si masikini wanao tumia miamala ya simu. Waziri alisema miamala yote ya chini ya Tsh 10,000. Ilisamehewa. Tuipatie serikali muda wakati inaboresha hizo tozo za Uzalendo.Tunachangia kwa kodi na sio kwa tozo hizi. Nenda Kenya uone kama kuna tozo mshenzi hizi
Weka takwimuJPM alikopa mpaka akafika kikomo cha kukopa ndio mzigo aliotuachia 71 trillion za made no.
Vituo vya afya aliyojenga kwa miaka mitano ya Magufuli ilikuwa sawa na vituo vya afya vilivyojengwa chini ya utawala wa Nyerere, Mwinyi, mkapa na kikwete.Tanzania ni kubwa sana, hivyo vituo alivyojenga mwendazake ni vichache
Yule Bush star Jiwe! ndo aliwauza kabisaa! akawapoteza mazima!! yeye alitumia alichopika mwenzake na kukiacha tele! Rais Jakaya kikwete! jiwe akamalizia kabisaa kahela kaliko kuwepo ka akiba!! kafilisi nchi!Hili swali lazima tujiulize wadau. Mbona hayati JPM alijenga vituo vya afya 460+ bila kutukamua tozo kama hizi?
Je, kama alipata hizo pesa na kujenga vituo, chanzo kilikuwa ni kipi?
Je, kuna haja ya kutumia ujenzi wa vituo vya afya, shule na barabara kama justification ya kodi kama hizi?
Je, hakuna chanzo kingine cha mapato.
Akili zako na zake mko sawa, Vituo majengo bila watenda kazi wala vitendea kazi ni bure wala siyo vituo vya afya hivyo! Majengo tu, waweza kuita flame za Maduka tu!!Vituo vya afya aliyojenga kwa miaka mitano ya Magufuli ilikuwa sawa na vituo vya afya vilivyojengwa chini ya utawala wa Nyerere, Mwinyi, mkapa na kikwete.
ebu! lete ubuyu ilinipita hiyo !11 weka hapa braza! kiduuchu yaani km ni kweli ntacheka mpaka basi!!!!Baada ya yeye kufariki ripoti ya CAG iliwekwa hadharani ndiyo ikajulikana.
Aliwakamua wakina Mbowe. Manji. Mashirika ya Umma.. wakina TANESCO. NMB. TTCL STIMICO. POSTA. TRL. ATCL. MAKOSA YA BARABARANI. SUMAJKT. TPDF. nk. Ole wao wenyeviti wa bodi mbalimbali. Na bado aliwabana wawekezaji. Acacia na milion 300 dollar. Akiwacha kitu.Jikite kwenye mada? Mbona hayati JPM alijenga bila kukamua wananchi kupitia tozo za miamala ya simu kama ishu ni kujenga vituo vya afya.