A
Sijui kwa nini ukimiliki kiriba tumbo cha namna hii, bila ya kujali umri, ukienda hospitali kupimwa ni lazima upatikane na tatizo la kiafya, hasa haya magonjwa yasiyo ya kuambukiza?
Aisee!Mwenyekiti mwenyewe anashinda bar kuanzia asubuhi hadi jioni
Chawa wa taifa , mtumishi mwenye pesa nyingi ,Eligi Liwembe