Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Taarifa zimezagaa kuwa mmoja wa mateka wawili wa kitanzania waliokuwa huko Gaza ameshafariki dunia.Mateka huyo anaitwa Clemence Felix Mtenga, mwenye umri wa miaka 22.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyotolewa na Bbc Israel ilikubali kuwa kweli ameuwawa lakini katika orodha za waliotajwa kufa tayari walikuwa bado hawajaweka jina lake kumtambua.
Kama waziri wa mambo ya nchi za nje asingehoji kuhusu raia hao wala asingejulishwa.
Waliotajwa rasmi kujulikana kuwa wameshakufa ni pamoja na raia Marekani na wengine mayahudi wenzao.Jee hii ina maana wao walihusika na kifo chake na kutaka kuficha siri au ni kutokana na kuwaona watu wengine kama nyani wakiwa hai au wamekufa.