Mbona kama dera ni oversize? Wanaohusika wako makini?

Mbona kama dera ni oversize? Wanaohusika wako makini?

Jamani naona Mama kapiga vazi fulani ila ni kama oversize na halimtoi vizuri kimuonekano.

Swali ni je, wanaohusika na mavazi ya Mama wako makini?

Ukiwa mkubwa, ujue hakuna dogo la kupuuzwa.
Kweli hata mi nimeona. 😄
Inabidi wamsaidie kutofautisha mavazi ya kiofisi na mavazi ya mahali kwingine! Wajue kabisa ni rais.
Hilo dela hata mtumishi mwingine wa umma haruhusiwi kwenda nalo ofisini labda awe mjamzito.🙌
 
😁😁😁 eti mama yenu .. Tanzania masiahara mengi sana hii nchi.. kipindima Rais ni wanaume mbona hatukusikia hizi mambo za Baba baba... nchi ina vituko sana hii
Mkuu neno mama ni heshima tu haina maana ni mama yetu mzazi, hata barabarani ni rahisi kumuita mwanamke aliyekuzidi umri mama hata kama humjui, wakati sio rahisi kumuita mwanaume baba hata kama amekuzidi umri, kwa hiyo neno mama usichukulie serious sana.
 
Nakupata vizuri kabisa mkuu. Haina shida yule mama wa taifa
 
Rais wetu lazima apendeze bana, picha tafadhali.
Mama yuko smart, na mara zote huwa anapendeza sana. Kama kuna mtu amesababisha ki-kasoro kwenye mavazi yake inabidi arekebishe hiyo kasoro haraka sana!
 
Mama yuko smart, na mara zote huwa anapendeza sana. Kama kuna mtu amesababisha ki-kasoro kwenye mavazi yake inabidi arekebishe hiyo kasoro haraka sana!
Wardrobe malfunction huwa inatokea sometimes
 
Back
Top Bottom