Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Suala la gear box mkuu siwezi kulisemea sana kwa sababu mimi binafsi sijawahi kukutana Na Dualis yenye shida ya Gear box...Kwenye umeme sawa nimekuelewa, vipi na kuhusu hiyo gear box ambayo wadau wanasema ni kimeo?
Toa mfano reserve tank ya gari gani inapasuka ovyo kama ya dualis na gari gani inaporomoka roof ikiwa used from japan kama dualis, ukifanya hvyo nadhani utaeleweka zaidi.
Kimuonekano dualis ni nzuri sana ila baada ya kuimiliki ndio nikaijua vizuri. Pia vitasa vya ndani huvunjika kirahisi sana na bei yake ni laki na usu kuendelea.
Tupo kwenye roof na reserve tank....ebu nitajie gari ambazo zinapasuka hiyo mitungi hata zikichemsha?Kwa maelezo yako, hata harrier, prado 120, Nissan Y61 etc zinakuja zimepasuka dashboard ni gari mbovu zote [emoji16][emoji16]
Ukipasua reserve tank basi gari yako ina-over heat, utakua unakaribia kukaanga engine (rekebisha tatizo kwa watalaamu, lasivyo utabadilisha reserve tank mpaka uchoke)
Roof issues:Tupo kwenye roof na reserve tank....ebu nitajie gari ambazo zinapasuka hiyo mitungi hata zikichemsha?
Maana dualis inapasuka bila hata ya kuchemsha kinaanza kuvuja.
Binafsi nilikuwa naipenda sana hii gari ila mapungufu yake ni mengi kama vile gearbox, roof, reserve tank, pia inatapia ya kula transmission fluid n.k.
Tuelimishane zaid
Sasa hapo ndio mtihani ulipo shida Nini ?Zinaungua zikifika Tz tu, mbona huko nje zimetumika miaka zaidi ya 12 na haziungui?
Subaru Forester SH5 haina mpinzani.Kwa ushauri wako mkuu, ukiwa na kama 22M. Bora uchukue gari gani la juu? Maana nlikua naiwazia hii gari.
🤣🤣 utaskia hizi gari zilikosewa sana gia box......mkuu upo sahihi kabisa asilimia kubwa ya malalamiko ya hitilafiu za magari huwa inakuwa ni Tanzania, Sasa unajiuliza hizi gari huko zimetumika zaidi ya kilometers laki moja, lakini likija bongo hata km 5000 hazifiki tayari gia box shida then gari inaungua, nadhani changamoto kubwa ni kutaka kuyatreat magari ya brand zingine kwa style ya toyota, na hata hizi toyota mifumo ya umeme inaenda ikibadilika kuendana na technology mpya, hivyo sio muda mrefu pia nayo yataanza kutushinda......
tanzania na mjapani ni kopo na mfuniko🤣🤣 utaskia hizi gari zilikosewa sana gia box
Kwamba gari zingine watu hawazi-chokonoi ama?Hazina tatizo. Watu wanazichokonoa kwa kufunga funga mavitu ambayo yanaongeza mzigo kwenye system ya umeme na hatimae shoti inatokea.
Umeambiwa hizi zina mfumo tofauti wa umeme. Halitaki fundi mchundoKwamba gari zingine watu hawazi-chokonoi ama?
Mbona zingine haziungui hovyo kama Dualis?
Wewe jamaa inaonekana unataka gari ambalo haliharibiki kabisa.sasa hilo utalipata wapi.Hadi vitasa unalalamika.Mambo mengine ni matumizi yako yalivyo.cha msingi gari kama inamatatizo common toka kwa mtengenezaji lazima yatakua yameshatolewa taarifa sana.kwasababu hizo gari zinatumika maeneo mengi duniani.Kwahiyo tutofautishe makosa yetu watumiaji na matatizo ya gari toka kiwandani.ilo lako kama hukununua jipya unajuaje aliyekua analitumia alilitumiaje ili ufikie hitimisho kua zote ziko hivyo.Toa mfano reserve tank ya gari gani inapasuka ovyo kama ya dualis na gari gani inaporomoka roof ikiwa used from japan kama dualis, ukifanya hvyo nadhani utaeleweka zaidi.
Kimuonekano dualis ni nzuri sana ila baada ya kuimiliki ndio nikaijua vizuri. Pia vitasa vya ndani huvunjika kirahisi sana na bei yake ni laki na usu kuendelea.
Iv hujiulizi kwann malalamiko ni mengi kuhusu hyo gari, mbona husikii hayo mapungufu yakizungumziwa kweny aina nyingine ya nissan, xtrail ni nyingi kuliko hyo dualis lakini mbona husikii malalamiko makubwa hvyo.Wewe jamaa inaonekana unataka gari ambalo haliharibiki kabisa.sasa hilo utalipata wapi.Hadi vitasa unalalamika.Mambo mengine ni matumizi yako yalivyo.cha msingi gari kama inamatatizo common toka kwa mtengenezaji lazima yatakua yameshatolewa taarifa sana.kwasababu hizo gari zinatumika maeneo mengi duniani.Kwahiyo tutofautishe makosa yetu watumiaji na matatizo ya gari toka kiwandani.ilo lako kama hukununua jipya unajuaje aliyekua analitumia alilitumiaje ili ufikie hitimisho kua zote ziko hivyo.
Nakubaliana na wewe, upo sahihi kabisa....huyu mdau yawezekana gari yake bado haijaanza kusumbua ila ni suala la muda tu.Hii gari inatatizo pia la kuporomoka roof na kupasuka mtungi wa coolant reserve tank, kataa na hyo pia.
Hyo gari ukiinunua inakulazimu kbadili roof vinginevyo litaporomoka, hyo nayo uongo?
Kuna wengine huwa wanapenda kutetea gari akiwa nalo hata kama linamtoa kamasi.Nakubaliana na wewe, upo sahihi kabisa....huyu mdau yawezekana gari yake bado haijaanza kusumbua ila ni suala la muda tu.
Subaru forester Tx vpSogea sogea mpaka kwenye 28m then untafute nkupe sehem ukachukue haria new au vanguard 5 seats
But kwa hyo gar skushauri
Nikajua ni kwangu tu! Kumbe ni kwa wote!Hii gari inatatizo pia la kuporomoka roof na kupasuka mtungi wa coolant reserve tank, kataa na hyo pia.
Hyo gari ukiinunua inakulazimu kbadili roof vinginevyo litaporomoka, hyo nayo uongo?
Assumptions tu. Kuungua moto ni matokeo ya ufundi local ingekuwa ni default ya gari basi Dualis zote zingekuwa kuungua ni lazima. Ila kuna watu wanatumia zaidi ya miaka 20 na hawajakutana na hizo incidences.Dualis Zina tatizo la kuungua moto
18 ni bei sana, bei ya mkononi kwa hapa bongo ni kuanzia 14 hadi 10 hapo.Show room linauzwa 22m hadi 25m, ukilitumia miezi miwili tu ukitaka kuliuza bei ni kuanzia 18m kushuka chini na wahitaji wamepungua mno.
Hii gari ukiachana na kuungua huwa linapungua nguvu gear box ikipata moto, hata ku overtake inakuwa shida. Hakuna gar humo