Mbona kama sielewi wakuu?

Mbona kama sielewi wakuu?

Sema huyu dogo anatuchora hapa, kaja kutu onyesha yakua yeye ni “Wise”
Kweli siwezi kukataa kwamba ninakipaji kiasi fulani cha kuongoza vikundi vya soga .
But nipo na ukweli wa hili .Ni seme basi kwa wale ma broo au Kaka zangu walonishauri vizuri big up sana .Ila kwa wewe unaye ona nakuchora pia ni familia sana .Maana huwezi mlazimisha mtu akuelewe .🙌
 
Nishaona kumbe watanzania wengi mnamchango mdogo sana kwenye taifa letu.
Mimi nimepata 4.5M kutokana na biashara nilo ianzisha kwa 350k tarehe 1/12/2024 lakini nyie mnaona ni ndogo [emoji23] sawa .
Na nipo chuo hapo na bado najisomesha na pia nipo na mdogo wangu yupo Mzumbe namsomesha .
Ipo hivi akili ya biashara ni bora kuliko mtaji
Em amka usingizini, utajikojolea buree, mxxxiiiieeew
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom