Nishaona kumbe watanzania wengi mnamchango mdogo sana kwenye taifa letu.
Mimi nimepata 4.5M kutokana na biashara nilo ianzisha kwa 350k tarehe 1/12/2024 lakini nyie mnaona ni ndogo [emoji23] sawa .
Na nipo chuo hapo na bado najisomesha na pia nipo na mdogo wangu yupo Mzumbe namsomesha .
Ipo hivi akili ya biashara ni bora kuliko mtaji