Hey There
Senior Member
- Nov 12, 2023
- 120
- 372
Tuongee serious, suala la kupata mwanamke wa kuwanae kwenye mahusiano kwa upande wangu limekua gumu sana hasa baada ya kuvunja uhusiano na mtu.
Sio kwamba domo zege sijui kutongoza ninauwezo wa kutongoza mwanamke aina yeyote yule Duniani hata awe raisi wa nchi kama kanipa space ya kumtongoza, suala kwangu ni ACCESS ya kufikia wanawake.
Kwakifupi sijui life style langu sijui nini, kama hapa nimetengana na mwanamke fulani inevitable mwezi yaani wanawake siwaoni kabisa naamka asubui naenda job kurudi jioni sioni wanawake kabisa. Hata ukishinda weekend useme utembee ni kwamba unaona tu wale wamekaa majumbani kwao sasa uende hapo 😂 ukibahatika unaona njiani mpita njia ukianza Hey Hey hauchukuliwi serious.
Mimi ndio maana najitahidi sana mahusiano yasivunjike changamoto kama hapa nimekaa none msela tu