Mbona leo kuna foleni sana?

Mbona leo kuna foleni sana?

Foleni haitokaa iishe hapo dar maana k7na utitiri wa vyombo vya moto kwa road.anza na bajaji,boda boda nao kama panya madaradara na takataka zingine.na kuna miungu watu wazee wa kutawaziwa njia ili wapite.hameni huko mnateseka bure tu
 
Niko hapa Rorya foleni ya kutosha tangu saa 11 jioni nadhani ni ushindi wa wa uchaguzi kwa 99%. Acha tujipongeze
 
Leo Kuna tatizo gani mjini,

Yani Kariakoo, Posta, Ilala, mpaka road za Sinza, Kinondoni, Kuna foleni sana

Yani gari hazitembei, mpaka Boda wapo foleni, shida ni Nini Leo?
Mkuu sio huko tu, hata njia ya mbezi shule tokea huko bunju na goba ni foleni muda wote
 
Leo Kuna tatizo gani mjini,

Yani Kariakoo, Posta, Ilala, mpaka road za Sinza, Kinondoni, Kuna foleni sana

Yani gari hazitembei, mpaka Boda wapo foleni, shida ni Nini Leo?

Nadhani pia ni tarehe hiz ni za ATM. nadhani kuqnzia jtatu kutakuwa shwari tuu
 
zingine za kulogwaaa

mfano pale mwenge


Traffick light kuna punda alienda akasimamisha kirikuu mbele akaomba hela jamaa akamgomeaa

Gafla tukashuka kadhaa tukamfwata mbona mnaruhusu gari za mjini tu kwenda tegeta dk 30 now tuka vaa kama 10

Naona anasogea pemben anarhhusu gari tulipokaribia sisi akasimamisha tena akajisahau kwenda kuikamata gari

Alipishana na mawinguu wotee tukaingia main road

Sijui wanarogwaa

Huyu jamaa chapom be na nilishawahi mripoti kwa bosi wake pale mwengee
 
Back
Top Bottom