hivi kuna sababu ya msingi udsm kufanyia mahafali dar? kwanini wasufanyie dodoma, hii jamu yote imeletwa na wabeba mashada na majoho, tumewekez fedha nyingi dodom ili tuifungue nchi, lakini watu bado wanakomalia kubaki dar, dar penyewe alipajua alivyokuja kusoma chuo,Leo Kuna tatizo gani mjini,
Yani Kariakoo, Posta, Ilala, mpaka road za Sinza, Kinondoni, Kuna foleni sana
Yani gari hazitembei, mpaka Boda wapo foleni, shida ni Nini Leo?